Kwa tuhuma alizonazo Ole Sabaya, anaweza akakimbia nchi, awekwe chini ya ulinzi

Kwa tuhuma alizonazo Ole Sabaya, anaweza akakimbia nchi, awekwe chini ya ulinzi

Utashangaa anashinda na anakuja lipwa mihela kibao kwa kodi zetu! Ndoutajua Bongo noma sana
 
Jamani tuhuma ndiyo hizo kla mtu anazisema.. uzushi uko wapi?
Jambo kusemwa na wengi hakufanyi jambo hilo kua sahihi hasa katika zama hizi ambayo Mawasiliano yamekua rahisi na kasi sana,

Uchunguzi ufanyike na taratibu zifuatwe.
 
Kiukweli siku zote sheria hufuata utaratibu ikiwa amemamishwa kwasababu ya tuhuma fulan basi mpaka hapo ushahidi utakapothibitisha.
Kwasasa ninachokijua ni Takukuru Polisi na Mahakama ndio vitakuwa vinafatilia uhalali wa aliokuwa akifanya.
Tunaweza sema alikuwa anauwa na kunyonga ila pia muelewe Wilaya ya Hai pia inamambo yake kama ilivyokuwa Mkoa wa Dar.

Ni mawazo tuu
 
Kuna tuhuma ambazo zinamkabili Sabaya, ni nyingi na za ukatili kubwa, uvujifu wa haki za watu Hai, mateso mauaji , utekaji etc etc uliokithiri.

Katika hali ya kawaida, kwa level ya tuhuma hizo, za mauaji ya wazi, utekaji etc inatoa uhalali wa kumweka kizuizini asitoroke ili haki itendeke.

Huyu atatoroka hata pengine kujiua ili kuepuka kunyongwa/kufungwa na adhabu nyinginezo.

Awekwe chini ya ulinzi ili haki itedeke
Imeisha hiyo.....
hutokaa usikie hata siku moja huyo jamaa katiwa kizuizini ama kushtakiwa.....
 
Inawezekana
Maana sio kwa majibu haya unatoa..!
Waungwana hukubaliana kutokukubaliana kwa kukubaliana makubaliano ya kutokukubaliana.Mkuu,kwa heshima na taadhima naomba ujinyonge hadi ufariki.Unaweza ukapata heshima ya kuitwa Hayati.😂😂😂
 
Back
Top Bottom