Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Neno lako sio sheria we endelea kujifariji inarusiwa๐ ๐ Ukristo haujui malaika ....Majini yapi tena ? Yale ya waganga na hayo mnayoyatoa huko kanisani kila siku mbona ni nyie tu mnapata majini?๐ ๐
Ukristo haujui malaika na Mungu wenu ni yesu na sio Mungu mkubwa..Neno lako sio sheria we endelea kujifariji inarusiwa
Waislamu mnavituko sana huyo Mungu mkubwa ndo yupiUkristo haujui malaika na Mungu wenu ni yesu na sio Mungu mkubwa..
๐ ๐ ๐ Kumbe ndio mnadanganyana ,Mungu ni mkubwa ndio maana uislamu unakuwa kwa kasi japo kupigwa vita miaka kibao na mataifa makubwa.Waislamu mnavituko sana huyo Mungu mkubwa ndo yupi
Kama Mungu wenu angekua na nguvu sana akawasaidie wapalestina wanachukuliwa ardhi yao kwa nguvu
Mungu wa wakristo haangalii wingi wa watu๐ ๐ ๐ Kumbe ndio mnadanganyana ,Mungu ni mkubwa ndio maana uislamu unakuwa kwa kasi japo kupigwa vita miaka kibao na mataifa makubwa.
Wapalestina wanalaa kwao na ule mgogoro upo tu milele ๐ ๐ .
Mungu wenu angekuwa mkubwa asingekufa pale msalabani na kuchapwa na binadamu wake tena mnavyodai walimvua nguo ,then mtu huyo aje kukuokoa wewe kama mnaamini alisulubiwa ๐ ๐ ๐ .
Kabisa mkuu ila inabidi uwaelewe.. Kuna vitu kwenye maisha ni hadi uvipitie ndo utajua kuwa vipo na kuupa uzito unaostahiliFAmilia yangu imeingia Uktisto nikiwa na umti mdogo, ndugu zetu kwa 98% ni waislam na baba mkubwa ni shekhe.
Baba na familia yangu iliingia Ukristo kwa baba kuponywa ugonjwa uliomtesa kwa muda.
Nimeshuhudia kwa macho watu wakiponywa.
Nimeona watu wakiponywa nikiwa zero distance.
Nimeona miujiza mingi isiyoelezeka.
Hivyo kwangu...Yesu ni mponyaji
๐ ๐ ๐ Israel kampiga nan ? Ndio mnadangaywa na tangu lini isreal ni taifa la wakristo?Mungu wa wakristo haangalii wingi wa watu
Ndo maana israel ni kinchi kidogo ila kilwapiga mataifa 7 ya waarabu
Wakati mungu wenu allah anasubiria muwe wengi ndo aonyeshe nguvu zake
Mungu wa wakristo hata wakiwa wachache anaonekana as long unamwamini
Wewe hodari kweli wa kuweka tarehe, na hao madaktari na mzee wako danadana yote waliyopigwa, Muhimbili walikuwa hawaijuwi?
Wajinga ndiyo waliwao.
Tulia mama! Ya Ngoswe mwachie Ngoswe. Wewe kila siku unatuletea udini wenzi tumetulia. Leo wasio upande wako wameleta yao unawashwawashwa.Wewe hodari kweli wa kuweka tarehe, na hao madaktari na mzee wako danadana yote waliyopigwa, Muhimbili walikuwa hawaijuwi?
Wajinga ndiyo waliwao.
Wajinga ndiyo waliwao.Tulia mama! Ya Ngoswe mwachie Ngoswe. Wewe kila siku unatuletea udini wenzi tumetulia. Leo wasio upande wako wameleta yao unawashwawashwa.
Mimi siendagi kanisani nikiwa huku ugenini lakiniAmin
Nina ushuhuda wa mambo makuu ambayo Mungu alitenda kwa familia tukiwa wadogo na katika wakati mgumu, japo akili zilikuwa ndogo tukiwa chini ya miaka 10 lakini ushuhuda hauwezi kupotea kati yetu.