"Tutapataje kupona kama.hatutaujali wokovu mkubwa nanmna hii". Abrahamu alifurahia alipoiona siku yake
Haya maneno yananiuisha sana kiroho ,tukijua nyakati tulizopo tungekuwa hodari sana kuupigania wokovu ,binadamu si kitu bila Yesu Kristo ,mwana wa Mungu aliye hai.
Wapo watub hujisemea hakuna Mungu ,nawasihi sana ndugu na kuisii nafsi yangu pia, yadunia ni mafupi sana hakuna jambo la dunia ambalo litatutuliza ,ila tumgeukie Kristo Yesu ambaye yeye ametuumba na anajua twahitaji nini.
Yamkini kusema kwangu si kuzuri ,wala hakuvutiii,ila Roho mtakatifu ayatie muhuri kwaajili ya asomaye ili apaye afahamau