Kwa Tukio lililomtokea Mama yangu 2009, Nimetokea kuuheshimu sana Ukristo na Wakristo wote

Dah, yani na waliokupa likes (wako.29) pamoja. na wewe ni wapumbavu sana. Ila tumeambiwa tuwapende hata wapumbavu maana kupitia upumbavu tunapata werevu. Acha chuki
 
Dah, yani na waliokupa likes (wako.29) pamoja. na wewe ni wapumbavu sana. Ila tumeambiwa tuwapende hata wapumbavu maana kupitia upumbavu tunapata werevu. Acha chuki

Mwambie
 
Kuondowa ubaguzi ambako kunaleta amani, maadili mema, mahaba kwa jamii.
Katika watu wanaongoza kwa ubaguzi ni waislamu.
Ukiwa na imani tofauti na uislamu tegemea kubaguliwa au kuawawa
Ndiyo maana hawajengi hospitali wakihofia wakristo wataenda kutibiwa ila cha ajabu hao waislamu wanaenda kutibiwa kwenye hospital za wakristo.
Ni salama sana kwenda kutafuta maisha kwenye nchi zisizo za kiislamu
 
Ndivyo mnavyodanganyana. Ukisoma huelewi basi hata kuona huoni?

Tembelea msikitini uone watu tofauti tofauti, wote wanasali bega kwa bega. Halafu fananisha na kanisani, kwanza wewe mbele kule kanisani huna nafasi.
 
Na mtumishi huyo ni Mwl Mwakasege.

A true man of God.

Mungu haangalii Dini zetu Bali Imani.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen
Na mpaka jina umeshamjua 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣lipieni tangazo.
 
Mbona huwa hamuwasemi wale wanaopeleka ndugu zao kwa waganga wa kienyeji...tena ni wengi na wanafanya kimya kimya..Au uganga sio mambo ya kiroho...
Tusilaumu au ku-attack au kujudge watu kwa jinsi akili zetu zinavyotuaminisha...Tuheshimu imani za wengine na misimamo yao...isitoshe hatupungukiwa na chochote...
 
Maombezi yapo Hadi labour ndugu.mimi shahidi.nesi kumuombea mmama ajifungue.Mtoa post nakukubali
 
Hakika Yesu kristo ni mtenda miujiza, wote wanaokupinga ni wachawi wameshawah kukutana na moto wa Yesu kristo ukawaubguza kwahyo wanaumia
 
Fyatuka Sana Ila omba yasikukute
 
Fyatuka Sana Ila omba yasikukute
Siwezi kuamini ujinga kama, watu wangapi wanapona wenyewe hata bila kuenda hospitali tena baada ya hospitali kushindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…