Mallia
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 437
- 1,562
- Thread starter
- #261
Hii story inaweza kutokea Ila hii, haina finger plint,unaweza hata kutunga tu, laiti ungeweka majina ya wahusika, hospitari uliyoenda, madokta waliomtibu, bila hivyo hii ni Alfa Lela ulela,
Hao wachungaji wa kilokole, ni mataperi sana, mtu anasimama anahubiri, "namuona mama Vanessa anashida ya tumbo"sasa huu ni upuuzi, mama Vanessa wanaweza kuwa wengi tu, na matatizo ya tumbo, ni common kwa wanawake, hapo hakuna miujiza! Hapo, kwa sababu kukuta mtu anaitwa mama Vanessa, kwenye jamii, ni Jjambo LA kawaida tu,
Kama nimetunga sikulazimishi