Kwa Tukio lililomtokea Mama yangu 2009, Nimetokea kuuheshimu sana Ukristo na Wakristo wote

Kwa Tukio lililomtokea Mama yangu 2009, Nimetokea kuuheshimu sana Ukristo na Wakristo wote

Hii story inaweza kutokea Ila hii, haina finger plint,unaweza hata kutunga tu, laiti ungeweka majina ya wahusika, hospitari uliyoenda, madokta waliomtibu, bila hivyo hii ni Alfa Lela ulela,
Hao wachungaji wa kilokole, ni mataperi sana, mtu anasimama anahubiri, "namuona mama Vanessa anashida ya tumbo"sasa huu ni upuuzi, mama Vanessa wanaweza kuwa wengi tu, na matatizo ya tumbo, ni common kwa wanawake, hapo hakuna miujiza! Hapo, kwa sababu kukuta mtu anaitwa mama Vanessa, kwenye jamii, ni Jjambo LA kawaida tu,

Kama nimetunga sikulazimishi
 
Hamnaga Mungu wa mhemuko kama huyu wa kwenu.
Allah anapona waumini wake? Au ndiyo anaponya kupitia mahakama ya kadhi?
Mashekh naona wanauza dawa za kienyeji na wengine wanakuwa mashekh majini.
Wengine wanakuwa watabiri wa nyota tu na kutumia ulozi ila bila bila.
Yesu ni njia ya kweli na uzima
 
Comment yako inaonyesha chuki uliyonayo dhidi ya Ukristo hasa ulokole...mleta mada ameeleza changamoto walizopitia na namna mama yake alivyopata msaada baada ya mahangaiko na kukata tamaa,wewe unakuja kupinga na kuponda imani ambayo imeleta majibu yaliyoshindikana...omba Mungu yasikukute,siku yakikukuta utakumbuka haya aliyoeleza huyu ndugu hapa...usifikiri kila tatizo la kiafya linakua solved medically,..kuna spiritual issues kubwa usizozifahamu...mtafute ndugu Mshana akupe elimu ya mambo ya kiroho.
Yaani unamuamini kabisa mtoa mada kuwa kweli mama yake alipatwa na yale matatizo? Please usiingie mtego huo!! Kweli hata wewe na akili zako unaweza kuanika maradhi ya mama yako humu JF? Ili iweje kwanza?
 
Ni meishia kusoma pale nilivo ona kwamba ulipeleke maombini, ni ka kuona kijana mpuuzi, ingekua hivo hata kwenye theater za hospitali kungekua na maombezi tu,........mtoto wakiume anae amini maombezi ya walokole ana vyashilia vya jinsia ya kike. "Soul diseases are treated spiritually and physical diseases are treated biologically" don't mixup things plz nyie walokole mna kua na wrong absolute belief kitu ambacho ni hatari katika jamii zetu za kiafrica
Huna akili ndo maana Mungu kakataa umalize kusoma uzi hadi mwisho ili urudi kwa ibilisi uendelee na kashfa zenu.
 
Uongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hivi kawaida sana ....Jamani jaribu muende hata hospital mkaone wagonjwa .

Unaanza wewe ni muislamu hakuna ukweli labda kama ni jina ila sio halisi.....Hizi stories zipo kibao hazina ukweli ni fake kuna kipind kabisa cha ushuhuda.[emoji1787]
Ili iwe kweli inatakiwa kuwaje? huko msiktini hua hamuombei wagojwa?
 
Hakuna dini au dhehebu linalompeleka mtu peponi isipokuwa imani yako tu ndio itakuponya. Uyo mama yako imani yake ndio imemponya tuendelee kuwa na imani dhabiti kwenye kila jambo.
 
Sauti imepotea kimiujiza?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ni script kabisa .

Tulipanga na mdada alikuwa ni mkristo kipind tunasoma chuo na alikuwa anatoka asubuhi anarudi jioni na kazi zake za kawaida tu ,na alikuwa mvaa wigi .

Na alihama ,miaka miwili mbele nilimuona tena kweny clip nilitumiwa na msela nisaminishe kwamba ndie anayetoa ushuhuda.

Basi alikuwa anadai alikuwa muislamu na hapo kanisani kavaa ushungi kabisa na tunamjua anavaa vimini na suruali [emoji1787][emoji1787]tulicheka sana ,na anatoa ushuhuda alikuwa hazai akaombewa akazaa ..
Naihurumia family yako kulea jitu jinga kama wewe
 
Comment yako inaonyesha chuki uliyonayo dhidi ya Ukristo hasa ulokole...mleta mada ameeleza changamoto walizopitia na namna mama yake alivyopata msaada baada ya mahangaiko na kukata tamaa,wewe unakuja kupinga na kuponda imani ambayo imeleta majibu yaliyoshindikana...omba Mungu yasikukute,siku yakikukuta utakumbuka haya aliyoeleza huyu ndugu hapa...usifikiri kila tatizo la kiafya linakua solved medically,..kuna spiritual issues kubwa usizozifahamu...mtafute ndugu Mshana akupe elimu ya mambo ya kiroho.
Siyo kila asiyekubaliana na miujiza ni wa Dini nyingine nje ya wanaomini Kristo, wapo wakristo hawaamini hayo mambo, ndiyo maana ukienda pale Msimbazi center, pale mlangoni Wapigwa marufuku Wanamaombi Kuingia pale, ingawa ni wakristo Wenzao.
 
Ni meishia kusoma pale nilivo ona kwamba ulipeleke maombini, ni ka kuona kijana mpuuzi, ingekua hivo hata kwenye theater za hospitali kungekua na maombezi tu,........mtoto wakiume anae amini maombezi ya walokole ana vyashilia vya jinsia ya kike. "Soul diseases are treated spiritually and physical diseases are treated biologically" don't mixup things plz nyie walokole mna kua na wrong absolute belief kitu ambacho ni hatari katika jamii zetu za kiafrica
akili za kibashite hizi msimamo mkali kama isil, najua kuna watu wanapona kwa njia za waganga wa jadi, miti shamba, na Mungu, hata ukisoma historia za mababu utaambiwa, kumwelimisha chizi huyu ni kazi ambayo hakuna kiumbe ataweza, facken kabisa.
 
Unazi huu,dar Ina wagonjwa wengi sana pamoja na rafiki yangu ,huyo mtumishi wako Huwa hawaoni au
jinga kweli fuata nyuki ule asali, wao walifata mkutano wakapata majibu wewe upo geto unasubiri muujiza facken kabisa.
 
Ni meishia kusoma pale nilivo ona kwamba ulipeleke maombini, ni ka kuona kijana mpuuzi, ingekua hivo hata kwenye theater za hospitali kungekua na maombezi tu,........mtoto wakiume anae amini maombezi ya walokole ana vyashilia vya jinsia ya kike. "Soul diseases are treated spiritually and physical diseases are treated biologically" don't mixup things plz nyie walokole mna kua na wrong absolute belief kitu ambacho ni hatari katika jamii zetu za kiafrica

Sio kila kitu cha hospital mkuu jitahidi kujielimisha
 
Ni meishia kusoma pale nilivo ona kwamba ulipeleke maombini, ni ka kuona kijana mpuuzi, ingekua hivo hata kwenye theater za hospitali kungekua na maombezi tu,........mtoto wakiume anae amini maombezi ya walokole ana vyashilia vya jinsia ya kike. "Soul diseases are treated spiritually and physical diseases are treated biologically" don't mixup things plz nyie walokole mna kua na wrong absolute belief kitu ambacho ni hatari katika jamii zetu za kiafrica
We ni mpumbavu mkubwa, aliyekudanganya Hospitalini wanaweza kutibu kila ugonjwa ni nani?

Yupo Mama mmoja naye alikuwa na kansa ya kizazi ambapo kwa uthibitisho wa kiwango cha kansa hiyo na majibu toka kwa Madaktari bingwa walidai huyo Mama hataweza kupata Watoto maisha yake daima.

Mungu ni Mwema baada ya miaka 7 yule Mama akiwa anadumu katika maombi tu kwa imani yake alipona kansa ya kizazi, alishika ujauzito, na alijifungua salama Mtoto mzuri kwa njia ya uke na analea Mtoto sasa hivi.

Hujalazimishwa kuamini ukuu wa Mungu ndiyomaana Mleta mada kasisitiza kila Mtu abaki na imani yake lakini asidharau imani za Watu wengine.

YESU NI BWANA (MUNGU).

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom