Kwa Tukio lililomtokea Mama yangu 2009, Nimetokea kuuheshimu sana Ukristo na Wakristo wote

Miujiza ya Mwenyezi Mungu ipo na inafanyika kila iitwapo leo, kikubwa ni kuamini kwa moyo mmoja. Nb Mungu azidi kumtia nguvu mtumishi wake. Mwl. Christopher Mwakasege
 
Ndio sijui shida ,unakubali ujinga nawe no mjinga ...Scripted hamna jipya hapo mfuate dm akakupe namba ya mnyakyusaπŸ˜…πŸ˜…
Mtoa uzi unamjua personal na je amekushikia fimbo uamini
Na kwani nimekuambia nahitaji namba ya mnyakyusa
Udini unakutesa sana unasahau sisi wote ni wanadamu na wapita njia tu hapa duniani
 
Mtoa uzi unamjua personal na je amekushikia fimbo uamini
Na kwani nimekuambia nahitaji namba ya mnyakyusa
Udini unakutesa sana
Muongo huyo hajawahi kuwa muislamu labda jina πŸ˜…πŸ˜…na hilo jina hakuna labda ni ile familia baba sio muumini mpaka aruhusu mke kupelekwa kanisani...

Sio muislamu na hakuwa muislamu.
 
Muongo huyo hajawahi kuwa muislamu labda jina πŸ˜…πŸ˜…na hilo jina hakuna labda ni ile familia baba sio muumini mpaka aruhusu mke kupelekwa kanisani...

Sio muislamu na hakuwa muislamu.
Kwani muislamu ana alama gani
Mbona kikwete ni muislamu juzi alikua madhabahuni na akaongea
Usipende kuteseka kwa vitu ambavyo havina impact kwenye maisha yako mto uzi hata humjui lakin unateseka
 
Mtoa uzi unamjua personal na je amekushikia fimbo uamini
Na kwani nimekuambia nahitaji namba ya mnyakyusa
Udini unakutesa sana

Hata nabii ISSAH na Mtume wetu MUHAMMAD hawakukubaliwa na kila mtu sishangai atakayeyabeza haya ila yakimkuta ataaminii
 
Kwani muislamu ana alama gani
Mbona kikwete ni muislamu juzi alikua madhabahuni na akaongea
Usipende kuteseka kwa vitu ambavyo havina impact kwenye maisha yako mto uzi hata humjui lakin unateseka
Sio udini hapa ni matapeli hata wale sijui watu wa majini ni hao hao ,huyo mwalimu wake ni huyu πŸ‘‡πŸ‘‡

Hata nabii ISSAH na Mtume wetu MUHAMMAD hawakukubaliwa na kila mtu sishangai atakayeyabeza haya ila yakimkuta ataaminii
Hukuwa muislamu πŸ˜…πŸ‘‡πŸ‘‡huyu ndio unataka kumpromote

Kwenye ukristo ni kawaida mtu kuongea na Mungu, kutokewa na malaika au kwenda mbinguni sio ajabu

Tatizo kubwa la uislamu yaan mnalazimisha watu waaamin nyie mnachoamin
Maisha hayako hivyo mwanadamu as long ana uhuru wa kufikiri na kuamua basi hatuwez kuwa sawa

Yaan mtu kwa sababu haamin unachoamin unamwita mwingo basi unashafari ndefu sana kifikra
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Toa ujinga wako hapa.!!
 
Unapokuwa hujui ufanye nini, Sali. Ukiona mtu yupo hospitali ujue bado kuna tumaini.
 
Waislamu kibao wanajaa kwa mwamposya...so waache watu wautafute kule roho yao inapowapa amani..
Hapo ndipo palipo na ujanja ujanja, Wanahoji baada ya kukosa matokeo, hujibiwa kwanza umkili Yesu ndio maana ufanye kazi.
Kwenye kuuza dawa za kina Nigeria yeyote anapokea utatuzi wa Shida zake.🀣🀣🀣
 
Kama kwenye uislamu wanavyoweza ongea na majini
Kwenye ukristo watu pia wanaongea na malaika
Ajabu ni nini
πŸ˜…πŸ˜…Ukristo haujui malaika ....Majini yapi tena ? Yale ya waganga na hayo mnayoyatoa huko kanisani kila siku mbona ni nyie tu mnapata majini?πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…