Kwa tuliosoma kayumba: Leo tukumbushane vitu tulivyokuwa tunatumwa na walimu wetu enzi tukiwa shule za msingi

Nimesoma kayumba ya wilayani, haikuwa mjini sana ila sio kijijini kabisa. Fagio za chelewa, majembe, nguzo za kujengea jengea sehemu za nyasi, maua, maji na kuni.

Wasichana ilikua kawaida kuagizwa wakachote maji kupeleka kwa walimu. By the way dingi alikua ticha so nimekula sNa mseleleko wa kudoji kazi sometimes.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mad max hongeren kwa sherehe ya viboko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha tu pengine natoa Daftari kwenye rambo langu hafu natia mbole.. Daftari naweka nyuma ya mgongo ndani ya shati..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]m nilikua nikifka shule naomba kupunguziwa na walioleta mbolea nyingi au unamwambia mtu akuletee mbolea unamnunulia icecream mapumzko
 
Mafagio,kibuyu kwaajili ya kuchotea maji au Galoni,kuni za kupikia uji,matete,mbolea,ukoka,kikombe enzi hizo unakifunga kwenye mkanda wa kabtula ,mfuko wa madaftali,jembe

Vyote unabena kwa pamoja
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]m nilikua nikifka shule naomba kupunguziwa na walioleta mbolea nyingi au unamwambia mtu akuletee mbolea unamnunulia icecream mapumzko
Ulikua na hela eeh. Ilikua unamuomba mtu mavi moja ya ng'ombe 😂😂😂 hafu unaenda kwa mwingine unamuomba lingine moja..ukiwa nayo ma4 basi unajua umeepuka kichapo
.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiachana na Kuwai namba saa moja kamili kuna kuagizwa fito na kuni tano tano nilipo fika darasa la 5 nikawa kiranja basi apo nikawa nimeponyeka na ivyo vikombe..[emoji4]
 
Mkuu, kwa mifano hiyo ndio inatuonyesha wazi kqamba walimu wana hali ngumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutafuta futio la ubao lazima upite madarasa zaidi ya matatu
kulikua na wale waalim wakaksi ukiingia darasani ukakuta ana kipindi lazima ukipige swali ukichemka iyo aibu yake dah..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…