Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Acha tu pengine natoa Daftari kwenye rambo langu hafu natia mbole.. Daftari naweka nyuma ya mgongo ndani ya shati..nlikua nachukia tukiagizwa mbolea woooi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tu pengine natoa Daftari kwenye rambo langu hafu natia mbole.. Daftari naweka nyuma ya mgongo ndani ya shati..nlikua nachukia tukiagizwa mbolea woooi
Mrefu kufuta ubaoKutafuta futio la ubao lazima upite madarasa zaidi ya matatu
Kweli mad max hongeren kwa sherehe ya vibokoKuna ticha mmoja mmaza (Mwl Nyota) alikua kauzu sana.
Sasa bwana kuna siku alituagiza, nyumbani kwake. Katupatia kimeseji (kikaratasi) tukampe mtoto wake wa kike yupo home.
Kufika tunakuta jirani yake kuna msiba. Yaani wao wanakaa kota za iyo shule (ni shule ipo chini ya masista so dayosisi waliwapa nyumba hao watumishi). Alitupa iko kimeseji kumbe amesema mtoto wake atupatie wali kwenye hotpot tumpepekee kazini. Dah yeye msibani huwezi amini hakwenda week nzima wakati ni nyumba ya pili.
Kuna siku mwalimu mwingine alikua bonge sana alituagiza nyumbani kwake. Kuna vitu tukavichukue somewhere hafu tupeleke kwake. Sasa kuna kitu pia alitaka atuagize turudi nacho ila akasahau so ikabidi aje mwenyewe. Sisi tulipotoka iyo sehemu tukaenda kwake. Hakuna mtu. Haoo tukaingia bafuni, la nje, tulikuta ameanika bonge la chupi. Wale jamaa zangu wawili wakavaa wakaingia wote kwenye chupi moja. Kumbe yule ticha ndio kafika anasikia vicheko bafuni. Anaingia anakuta watu wapo ndani ya chupi. Aisee zile fimbo zilipigwa sijawahi ona. Tunafika shule akatukabidhi kwa mwalimu wa nidhamu tukala fimbo ila sababu haitajwi. Ni fimbo tu.
Acha tu pengine natoa Daftari kwenye rambo langu hafu natia mbole.. Daftari naweka nyuma ya mgongo ndani ya shati..
Haiwezekani babe, sio kwa mrembo wewe....tehFito na nyasi za kujengea choo
Ulikua na hela eeh. Ilikua unamuomba mtu mavi moja ya ng'ombe 😂😂😂 hafu unaenda kwa mwingine unamuomba lingine moja..ukiwa nayo ma4 basi unajua umeepuka kichapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]m nilikua nikifka shule naomba kupunguziwa na walioleta mbolea nyingi au unamwambia mtu akuletee mbolea unamnunulia icecream mapumzko
Kwa mtihani huo, lazima ulipiga sarakasi kwa kuangukia pua ikifuatiwa na kichwa
Bilashaka ulikuwa minita wa darasa...Kutafuta futio la ubao lazima upite madarasa zaidi ya matatu
Ulikuwa unaiba mavi ya mg'ombe kwa akina J....kuleta fimbo, maua na mbolea wooooi nilikua nachukia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna ticha mmoja mmaza (Mwl Nyota) alikua kauzu sana.
Sasa bwana kuna siku alituagiza, nyumbani kwake. Katupatia kimeseji (kikaratasi) tukampe mtoto wake wa kike yupo home.
Kufika tunakuta jirani yake kuna msiba. Yaani wao wanakaa kota za iyo shule (ni shule ipo chini ya masista so dayosisi waliwapa nyumba hao watumishi). Alitupa iko kimeseji kumbe amesema mtoto wake atupatie wali kwenye hotpot tumpepekee kazini. Dah yeye msibani huwezi amini hakwenda week nzima wakati ni nyumba ya pili.
Kuna siku mwalimu mwingine alikua bonge sana alituagiza nyumbani kwake. Kuna vitu tukavichukue somewhere hafu tupeleke kwake. Sasa kuna kitu pia alitaka atuagize turudi nacho ila akasahau so ikabidi aje mwenyewe. Sisi tulipotoka iyo sehemu tukaenda kwake. Hakuna mtu. Haoo tukaingia bafuni, la nje, tulikuta ameanika bonge la chupi. Wale jamaa zangu wawili wakavaa wakaingia wote kwenye chupi moja. Kumbe yule ticha ndio kafika anasikia vicheko bafuni. Anaingia anakuta watu wapo ndani ya chupi. Aisee zile fimbo zilipigwa sijawahi ona. Tunafika shule akatukabidhi kwa mwalimu wa nidhamu tukala fimbo ila sababu haitajwi. Ni fimbo tu.
Mkuu, kwa mifano hiyo ndio inatuonyesha wazi kqamba walimu wana hali ngumu sanaKuna ticha mmoja mmaza (Mwl Nyota) alikua kauzu sana.
Sasa bwana kuna siku alituagiza, nyumbani kwake. Katupatia kimeseji (kikaratasi) tukampe mtoto wake wa kike yupo home.
Kufika tunakuta jirani yake kuna msiba. Yaani wao wanakaa kota za iyo shule (ni shule ipo chini ya masista so dayosisi waliwapa nyumba hao watumishi). Alitupa iko kimeseji kumbe amesema mtoto wake atupatie wali kwenye hotpot tumpepekee kazini. Dah yeye msibani huwezi amini hakwenda week nzima wakati ni nyumba ya pili.
Kuna siku mwalimu mwingine alikua bonge sana alituagiza nyumbani kwake. Kuna vitu tukavichukue somewhere hafu tupeleke kwake. Sasa kuna kitu pia alitaka atuagize turudi nacho ila akasahau so ikabidi aje mwenyewe. Sisi tulipotoka iyo sehemu tukaenda kwake. Hakuna mtu. Haoo tukaingia bafuni, la nje, tulikuta ameanika bonge la chupi. Wale jamaa zangu wawili wakavaa wakaingia wote kwenye chupi moja. Kumbe yule ticha ndio kafika anasikia vicheko bafuni. Anaingia anakuta watu wapo ndani ya chupi. Aisee zile fimbo zilipigwa sijawahi ona. Tunafika shule akatukabidhi kwa mwalimu wa nidhamu tukala fimbo ila sababu haitajwi. Ni fimbo tu.
kulikua na wale waalim wakaksi ukiingia darasani ukakuta ana kipindi lazima ukipige swali ukichemka iyo aibu yake dah..Kutafuta futio la ubao lazima upite madarasa zaidi ya matatu
Kuu, huko ulipo soma wewe paliitwa shule ya msingi. Lakini kumbuka kqamba huku kweru kuna shule za kataHii Kayumba ya Kijijini nadhani kwasababu tuliosoma Mjini sanasana unaagizwa Ufagio na Maji kama shule wamekatiwa maji.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwa una muandiko mzuri sana chief...mkipiga kelele mnaaanikwa juani kwenye mchanga wa moto.
Kusukumana kwenye madawati, Mkong'oto wa kutosha kwasiku hata fimbo 12 hukosi
kitu pekee walimu walikua wananituma ni Kuandika barua/majina ya matangazo nk maana nilikua naweza kuiga mwandiko wa mtu yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilibatizwa jina la "Mwenye muandiko mzuri" shule zote nilizosoma