Basi wewe ulitokea kwenye familia ya maisha yakatiKayumba za mjini ni maua, maji ya kumwagilia na fagio la chelewa
Mkuu, bilashaka ulizoma shule za pale Mwandiga... tehDarasa la 3 tukikua tunaingia darasani saa 4 tunatoka saa 10 jioni. Sasa ulikua ukipiga fujo unapewa adhabu ya kwenda kuteka maji umbali wa km 3. Labda mpo watu 10 mnaenda..Asee tumefanya matendo ya ajabu hadi nashangaa ile akili tuliitoa watu.
Wale watukutu wa darasa tukiwa nao kuteka maji walikua wanatushawishi tunakojolea maji ndoo zote. Walimu wamekunywa mikojo sana.
Wake wa walimu walikua wachoyo kweli ulikua ukienda kuomba maji ya kunywa unapewa kikombe cha maji na ndoo kabisa ukateke maji
Hahaaa kidogo ubahatishie.. ila ni shule zilizopo kati ya kata ya gungu na kibilizi
Hao hua ni wale wanoko wa walimu
Ulikuwa mwanafunzi mwenye nidhamu, muoga ingawa ulikuwa una pendwa sana na walimu kwasababu ulikuwa una akili sana za darasaniAcha tu pengine natoa Daftari kwenye rambo langu hafu natia mbole.. Daftari naweka nyuma ya mgongo ndani ya shati..
Nilikua mtundu sana afu sina viatu 😂😂Ulikuwa mwanafunzi mwenye nidhamu, muoga ingawa ulikuwa una pendwa sana na walimu kwasababu ulikuwa una akili sana za darasani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vile ilikuwa fursa ya kupewa maandazi ya bure, kutochapwa na upendeleo usio na sababu
Acha kabisa yaani..mbolea, vidumu, fagio za nyasi. Ila ilkuwa raha sana [emoji3][emoji3]
Ulikua na hela eeh. Ilikua unamuomba mtu mavi moja ya ng'ombe [emoji23][emoji23][emoji23] hafu unaenda kwa mwingine unamuomba lingine moja..ukiwa nayo ma4 basi unajua umeepuka kichapo
.
Wanafunzi wa zamani walikuwa hawafi kama siku hizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alivyowachapa hakuwaua?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nilikuwa sipeeeeeendi[emoji134][emoji134][emoji134]Fito na nyasi za kujengea choo
[emoji38][emoji38]Yaani nilikuwa sipeeeeeendi[emoji134][emoji134][emoji134]