Kwa tuliosoma kayumba: Leo tukumbushane vitu tulivyokuwa tunatumwa na walimu wetu enzi tukiwa shule za msingi

Kwa tuliosoma kayumba: Leo tukumbushane vitu tulivyokuwa tunatumwa na walimu wetu enzi tukiwa shule za msingi

Darasa la 3 tukikua tunaingia darasani saa 4 tunatoka saa 10 jioni. Sasa ulikua ukipiga fujo unapewa adhabu ya kwenda kuteka maji umbali wa km 3. Labda mpo watu 10 mnaenda..Asee tumefanya matendo ya ajabu hadi nashangaa ile akili tuliitoa watu.

Wale watukutu wa darasa tukiwa nao kuteka maji walikua wanatushawishi tunakojolea maji ndoo zote. Walimu wamekunywa mikojo sana.
Wake wa walimu walikua wachoyo kweli ulikua ukienda kuomba maji ya kunywa unapewa kikombe cha maji na ndoo kabisa ukateke maji
Mkuu, bilashaka ulizoma shule za pale Mwandiga... teh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulikuwa mwanafunzi mwenye nidhamu, muoga ingawa ulikuwa una pendwa sana na walimu kwasababu ulikuwa una akili sana za darasani

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikua mtundu sana afu sina viatu 😂😂
Mwalimu mkuu ndio alinisimamia kwenye sherehe ya kumaliza LY. Alikua rafiki angu sana hadi home alikuja kwa faza..Reason behind.. nilikua nafumua sana masomo yake ambayo ni Eng na Geografía.
Lazima niwe first kwenye mitihani yake
 
Ulikua na hela eeh. Ilikua unamuomba mtu mavi moja ya ng'ombe [emoji23][emoji23][emoji23] hafu unaenda kwa mwingine unamuomba lingine moja..ukiwa nayo ma4 basi unajua umeepuka kichapo
.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah
 
Back
Top Bottom