pole mkuu,kule kigiza kikiingia tu ndio zao.Mwaka 2005 nakumbuka kombe la dunia lilitembelea tanzania pale diamond jubilee wakat huo nipo chuo mwaka wa kwanza nikaenda na demu wangu Irene tulipotoka pale tukaenda beach maeneo ya aga khan basi giza linaanza kuzama hivi nashtuka tumezungukwa na watu kama 8 wana mapanga wakachukua simu pochi cheni...nilichezea kichapo maana nlitaka kujifanya mm komando joni nipambane kama sio mpenzi wangu kuwaomba wanisamehe wangenitoa jicho.
Tokea mwaka huo ile beach naichukia sn
Leo usiku saa tano pita Mwananyamala Kwa Kopa, ulizia majani wapi.Okey, na kamwe usijaribu hiyo fani!!
Tryin to imagine, huwa unawaambia "shikamoo kaka kibaka, naweza nikapita hapa?"...pole sana mi ndo maana nikipita sehem tata vibaka nawasalimiaga tu
Kaka naomba unitonye mbinu ulio tumia wakanasa mtegoni..!!Waliwahi kunifanyia "ambush" walikuwa kama sita hivi sasa kwa kuwa sikuwa nimejianda na sikujua hili wala lile walifanikisha azma yao!
But nilitafakari sana lile tukio hivyo nikaamua kutafuta mbinu ya kupambana nao wakati mwingine, hivyo nilipata mbinu ya kupambana nao kulingana na mazingira tofauti tofauti, aina ya vibaka, idadi ya vibaka na aina ya silaha wanazotumia!
Siku wakaingia katika mtego, kwa kweli nadhani huko waliko kama wanakumbuka hilo tukio nahisi watakuwa wanadhani walipambana na jini!
Nimekuelewa sana mkuu Mbishi, hongera sanaStori yangu ni tofauti kidogo. Kipindi nimeenda kuwatembelea wazazi Mwanza (2011).....kuna jamaa wa kitaa waliniona jioni nazunguka na wengine walionifahamu wakanisalimia na kutaka kujuwa nilifika lini mjini. Usiku wazazi wamelala nasikia mbwa wanabwaka, ile kuchungulia dirishani naona kuna jamaa anakimbia uwani na mkuki akifukuza mbwa na mmoja wao kafa kwa kulishwa sumu. Nikamwamsha Mze taratibu huku tukimuambia Mama na ndugu wengine wanyamaze. Mze akachukua bunduki yake nami yangu, Mze akapanda juu nami nikawa chini maeneo ya jikoni waliko majambazi (4) na kutaka kubomoa mlango wa nyuma. Wale jamaa walikuja na mtungi wa gesi kuchoma geti la mlango, mbwa wakawa bize kuwakalipia na hii ndiyo ilikuwa hukumu yao. Huku wakipigana na mbwa mimi na Mze tulipanga strategy ya kuwaua. Mze akamlipua mmoja wao nami nikamlipua mwingine huku nikimjeruhi yule aliyebeba mtungi wa gesi ila mbwa ndiyo walimla vibaya sana, yaani walimchana nyama za usoni na kuirarua **** yake. Matokeo yake, tuliua majambazi wawili pae Ilemela, Zoo. Sina huruma na kibaka hata jambazi.....Kaba, tukabane au ua ukiniwahi, nikuue.
Letrisha nifanye nini hata niweze kukupata?Duuh pole sana
Una machale?Kaka naomba unitonye mbinu ulio tumia wakanasa mtegoni..!!
Hahahaaaaa hapo in hatariMwaka 2005 nakumbuka kombe la dunia lilitembelea tanzania pale diamond jubilee wakat huo nipo chuo mwaka wa kwanza nikaenda na demu wangu Irene tulipotoka pale tukaenda beach maeneo ya aga khan basi giza linaanza kuzama hivi nashtuka tumezungukwa na watu kama 8 wana mapanga wakachukua simu pochi cheni...nilichezea kichapo maana nlitaka kujifanya mm komando joni nipambane kama sio mpenzi wangu kuwaomba wanisamehe wangenitoa jicho.
Tokea mwaka huo ile beach naichukia sn
Ndio mkuu yapo, nasubiri hiyo siku na usiache kunitag.Una machale?
Ntapandisha uzi, one day!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Tryin to imagine, huwa unawaambia "shikamoo kaka kibaka, naweza nikapita hapa?"...
hahaha kuna salamu zao anga hizo unasema kaka vipi kwemaa?? akijibu kwema sista unawaambia naona mnakula upepo mi napitaa lol kwangu inafanyaga kazi ila kwa wanaume sijuiiTryin to imagine, huwa unawaambia "shikamoo kaka kibaka, naweza nikapita hapa?"...
Hahah!!!hahaha kuna salamu zao anga hizo unasema kaka vipi kwemaa?? akijibu kwema sista unawaambia naona mnakula upepo mi napitaa lol kwangu inafanyaga kazi ila kwa wanaume sijuii
long time no see.......