Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Ukawalipua ki- black American kama wanugu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nasikia ukivaa kanzu na kofia hawakugusi ,wanaogopa albadir. Jaribu hiyo mbinipole sana mi ndo maana nikipita sehem tata vibaka nawasalimiaga tu
mbona bado story yako haijaishaSio mbali, jana tena tukio kama hilo kidogo linitokee kama sio kuwa makini ingekula kwangu. Nilikuwa natoka Kunduchi nakwenda nyumbani Salasala; mapema tu saa 2 usiku nikasema leo sipandi bodaboda wala bajaji -- leo natembea taratibu kwa miguu mpaka nyumbani.
Safari ikaanza, nikatembea ikabaki kipande kidogo tu niingie mitaa ya home ila kuna mtaa mmoja ndio huwa njia yangu ya miguu siku zote japo mazingira yake sio mazuri kuna miti na vichaka vingi. Nilipofika hapo nikawaona watu watatu wamesimama katikati ya njia kama walikuwa wanajadili kitu hivi, nikawasoma nikajua kabisa hawa sio watu wazuri nikasita kuendelea na safari, pembeni yangu kulikuwa na nyumba ina duka nikaona yes ngoja nipoteze lengo nikaulizie vocha... Nimekwenda mpaka dukani kujifanya nataka vocha, nikajibiwa zipo za Halotel na Tigo... Nikasema basi mimi nilikuwa nahitaji ya Vodacom...
Ikulu???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hebu tupe hiyo
Siku nyingine ukishikika vizuri usijifanye mjanja, Hao jamaa hawana hasara, utakuja tobolewa macho na vitu wakachukua. Pambana pale tu penye uhakika kuwa utawazidi mbinu, vinginevyo wape wachukue vitu.Imewahi kunitokea, nakumbuka vizuri sana nilikuwa natoka kwenye mishe mishe zangu, nilifika mahali ambapo zinapita bodaboda nyingi na watu wachache tu wanaotembea kwa miguu. Nilikuwa nina simu 2; moja ya touch nyingine ya Nokia ilikuwa ndogo na kiasi cha Tsh 7000 mfukoni pamoja na chaji ya smartphone.
Nakumbuka wakati natembea taratibu kwa maringo kama Twiga, simu yangu ya touch ikaingia massage ya WhatsApp, nikaiotoa ili kuisoma aisee ile message na ule mwanga wa simu viliniponza kabla hata sijafika mbali nilishtuka nimepigwa roba moja kali sana mpaka nikahisi pumzi inataka, nikajua enhe hapa tayari nimekabwa na wahuni. Usiombe kukutana na hao wajinga hawaoni shida kutoa uhai wako. Ile distance ya kutoka zinapopita bodaboda na tulipokuwa sisi ilikuwa ni hatua chache sana ingawa kiza kilikuwa kikubwa. Nashukuru hawakunichana hata na kiwembe japo nilijitahidi kuwazuia walinishinda power nilichezea tu ngumi za uso wakaondoka na simu yangu ya touch.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah ilikua mwaka 1945 baada tu ya vita ya dunia nilkua natoka zangu kuangalia vita live..mfukoni na i phone 7 yang kwenye beg na laptop maskini kilicho nikuta njiani sita sahau[emoji41][emoji41][emoji41][emoji23]napunguza stress
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao walikua wanapanga jinsi yakukwambia iliwakutulizeTuko watatu tuna kross bich to bich ilikua sikukuu flani hivi. Tumetembea kandokando ya bahari toka chadibwa tunaelekea hunters. Katikati wakaibuka vibaka na mavisu mkononi "oyaa tusalimianeni basii". Dooh nikajua on target. Kwakua mi nilishika kamera wakanianza mimi wenzangu wakafungukaa. Dooh nikawa sina jinsi mepigwa sana mabapa ya panga wakanipukutisha kila kitu. Nilikua mgumu kutoa waleti, nikaonja panga la mgongo, nikajua no jock wakanipulula asee. Walivomaliza wakawaunganishia na wenzangu. Asee siwezi sahau siku hiyo. Nilitembea kwa mguu mpaka kivukoni usiku saa mbili. Damu zinanitoka nikamwomba msamaria buku akanipa nikapata nauli nafika home nawakuta washkaji wanapanga jinsi ya kwenda kunitafuta. Walijua nishauwawa tayari
Mbona naskia uliacha kulewa baada ya kuvunjiwa yai??Thanxx
ila waliniadhiri sana hadi nikaacha kulewa karibu nusu mwaka.
ila waliona wakinisach wanachelewa wakaamua kukata mifuko yote ya surwali.nafika hom nimeishika jinsi isidondoke
Kuna umuhimu wa kutembea na bastola siku hiziDuu kuna kibaka mmoja yupo mwanza kilimahewa ni mbabe sana mpaka saizi atakuepo kama hayuko magereza kama sikosei anaitwa marwa mkulya uyo ni shida me nilikua mgeni hapo mtaani basi nikakutana nae akanambia toa simu nikagoma tulifuana karibia dakika 20 nikamzidi nguvu akakimbia lakni alinichana na wembe shavuni mpaka leo niko na ngeo nitumie nafasi hii mwenye dawa ya kufuta ngeo maana nikiona natamani nikalipize kisasi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wahuni sio watu wazuri, mwaka juzi kidogo wapite na Laptop yangu, nilikuwa natoka job njiani nikakutana na boda boda na abiria wake mmoja ile nawapita tu abiria akashuka na kuja kunishika bega huku akiwa na panga lake huku akisema achika begi niligeuka na kick moja, sijasubiri mkuu ainuke niliunga na mia mpaka ghetto, Nilipofika gheto nilijikuta nacheka kinoma maana nilihisi kama ndoto maana sijawahi kimbia mbio kama zile aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia bayo cellDuu kuna kibaka mmoja yupo mwanza kilimahewa ni mbabe sana mpaka saizi atakuepo kama hayuko magereza kama sikosei anaitwa marwa mkulya uyo ni shida me nilikua mgeni hapo mtaani basi nikakutana nae akanambia toa simu nikagoma tulifuana karibia dakika 20 nikamzidi nguvu akakimbia lakni alinichana na wembe shavuni mpaka leo niko na ngeo nitumie nafasi hii mwenye dawa ya kufuta ngeo maana nikiona natamani nikalipize kisasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Inatakiwa ujibu vipHuwa kuna lugha zao, unaweza ulizwa "mchana usiku" sasa we jibu 'usiku' kisa ni usiku umekwisha.
DAH HAPO IRENE ALIKUSAVE SANAMwaka 2005 nakumbuka kombe la dunia lilitembelea tanzania pale diamond jubilee wakat huo nipo chuo mwaka wa kwanza nikaenda na demu wangu Irene tulipotoka pale tukaenda beach maeneo ya aga khan basi giza linaanza kuzama hivi nashtuka tumezungukwa na watu kama 8 wana mapanga wakachukua simu pochi cheni...nilichezea kichapo maana nlitaka kujifanya mm komando joni nipambane kama sio mpenzi wangu kuwaomba wanisamehe wangenitoa jicho.
Tokea mwaka huo ile beach naichukia sn
Ukiambiwa "usiku" unajibu "mchana".