Kwa tulipofikia ni bora serikali yote ijiuzulu na uitishwe uchaguzi kabla ya 2025 ili kupata serikali itayoipelekea nchi yetu mahali sahihi

Ibinafsishwe kwa mchina maana imekosa ufanisi nayo.

Mchina itakuwa best deal maana hana dini.
Kuna mada ya The Boss alileta akijaribu kumtetea Mzee Mwinyi na kudai kuwa Wachina wameweza.

Pia nilitaka kuonglea hilo katika mada hii lakini nikaona ntajaza mambo mengi yatachosha.

Lakini ukweli wabakia kuwa bila kuiga na kufanyia marekebisho sera za wachina na maamuzi yao magumu kuhusu nchi yao, sera zao za kuchumi na mfumio mzima wa uendeshaji nchi, Tanzania itandelea kubaki nyuma huku rasilimali zake zikipokwa na kupotelea huko nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…