Kwa tunaojua mpango wa wakala Kwa Mchezaji wake halitutishtui hili.
Wakala yupo tayari kufanya chochote Mchezaji wake apate "mileage" Wakala alimleta Mchezaji Tanzania kama njia panda.
Wakala alishanunua sana "Airtime" ya Mchezaji wake katika Page Kubwa, Wakala hashindwi Kununua Tuzo.
Wakala yuko tayari kugharamia anything akijua wazi kuwa siku moja atakuja kunufaika na mauzo maradufu.
Mawakala wa Afrika Magharibi wanajua sana kuwapush wachezaji wao.
Fanyeni na nyie mkakati msimu huu mcheze makundi alafu muwafanyie mkakati mayele, makambo, aziz ki, kambole sijui, muloko .....alafu jibu utatuleteaKwa tunaojua mpango wa wakala Kwa Mchezaji wake halitutishtui hili.
Wakala yupo tayari kufanya chochote Mchezaji wake apate "mileage" Wakala alimleta Mchezaji Tanzania kama njia panda.
Wakala alishanunua sana "Airtime" ya Mchezaji wake katika Page Kubwa, Wakala hashindwi Kununua Tuzo.
Wakala yuko tayari kugharamia anything akijua wazi kuwa siku moja atakuja kunufaika na mauzo maradufu.
Mawakala wa Afrika Magharibi wanajua sana kuwapush wachezaji wao.
Mumewe siyo mkeweJamaa atakua na gubu sana mkewe ana kazi
Umeandika nini sasa????Kwa tunaojua mpango wa wakala Kwa Mchezaji wake halitutishtui hili.
Wakala yupo tayari kufanya chochote Mchezaji wake apate "mileage" Wakala alimleta Mchezaji Tanzania kama njia panda.
Wakala alishanunua sana "Airtime" ya Mchezaji wake katika Page Kubwa, Wakala hashindwi Kununua Tuzo.
Wakala yuko tayari kugharamia anything akijua wazi kuwa siku moja atakuja kunufaika na mauzo maradufu.
Mawakala wa Afrika Magharibi wanajua sana kuwapush wachezaji wao.
Aziz Ki si ndo hili goal lilifungwa dhidi ya team yake na yeye akiwepo ndani?? Sasa afanye nn tena?Fanyeni na nyie mkakati msimu huu mcheze makundi alafu muwafanyie mkakati mayele, makambo, aziz ki, kambole sijui, muloko .....alafu jibu utatuletea
[emoji28][emoji28]..Kwamba UTOPWINYOJana Dunia imejua kuna timu inavitu hatari SIMBA SPOTRS CLUB sasa utopwinyo endeleeni kuharisha sijui mtashtaki kwa mama au caf au fifa au TFF
Sio "me" huyo, ni "ke".Jamaa atakua na gubu sana mkewe ana kazi
Itoshe tu kusema wewe jamaa ni mpumbavu.Kwa tunaojua mpango wa wakala Kwa Mchezaji wake halitutishtui hili.