Kwa tunaofahamu, tuzo ya Sakho ni ya kimkakati

..
FB_IMG_1658473809948.jpg
 
Vipi huyu Mayele na Aziz wote wa hapo Jangwani wao mawakala wao huwa wanawasaidia vipiii?
Au wakala wa mayele ndio alikuwa anamnunulia ng'ombe mikoani na kudanganya ni upendo wa mashabiki
 
Kwa tunaojua mpango wa wakala Kwa Mchezaji wake halitutishtui hili.

Wakala yupo tayari kufanya chochote Mchezaji wake apate "mileage" Wakala alimleta Mchezaji Tanzania kama njia panda.

Wakala alishanunua sana "Airtime" ya Mchezaji wake katika Page Kubwa, Wakala hashindwi Kununua Tuzo.

Wakala yuko tayari kugharamia anything akijua wazi kuwa siku moja atakuja kunufaika na mauzo maradufu.

Mawakala wa Afrika Magharibi wanajua sana kuwapush wachezaji wao.

Kwaiyo ww unaona lile ni goli la kawaida Sana au sio?
 
Kwa tunaojua mpango wa wakala Kwa Mchezaji wake halitutishtui hili.

Wakala yupo tayari kufanya chochote Mchezaji wake apate "mileage" Wakala alimleta Mchezaji Tanzania kama njia panda.

Wakala alishanunua sana "Airtime" ya Mchezaji wake katika Page Kubwa, Wakala hashindwi Kununua Tuzo.

Wakala yuko tayari kugharamia anything akijua wazi kuwa siku moja atakuja kunufaika na mauzo maradufu.

Mawakala wa Afrika Magharibi wanajua sana kuwapush wachezaji wao.
Fanyeni na nyie mkakati msimu huu mcheze makundi alafu muwafanyie mkakati mayele, makambo, aziz ki, kambole sijui, muloko .....alafu jibu utatuletea
 
Umeandika nini sasa????
 
Fanyeni na nyie mkakati msimu huu mcheze makundi alafu muwafanyie mkakati mayele, makambo, aziz ki, kambole sijui, muloko .....alafu jibu utatuletea
Aziz Ki si ndo hili goal lilifungwa dhidi ya team yake na yeye akiwepo ndani?? Sasa afanye nn tena?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawana mwendooooo hawa utopwengaaa!!!

Byuti byuti.
 
Kwa tunaojua mpango wa wakala Kwa Mchezaji wake halitutishtui hili.

Wakala yupo tayari kufanya chochote Mchezaji wake apate "mileage" Wakala alimleta Mchezaji Tanzania kama njia panda.

Wakala alishanunua sana "Airtime" ya Mchezaji wake katika Page Kubwa, Wakala hashindwi Kununua Tuzo.

Wakala yuko tayari kugharamia anything akijua wazi kuwa siku moja atakuja kunufaika na mauzo maradufu.

Mawakala wa Afrika Magharibi wanajua sana kuwapush wachezaji wao.
Itoshe tu kusema wewe jamaa ni mpumbavu.
 
Back
Top Bottom