Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Jamaa alishinda buti la jejeHaya huyu hapa aliyestahili, kashapewa tuzo yake. Furahi sasa.
Shougaaaaah angu, kwan uteseke? Kwann uumie??
Kunywa maji ya uvugu vugu, afu pumzikaaa.
Byuti byutii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2299595
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa alishinda buti la jeje
Kwa tunaojua mpango wa wakala Kwa Mchezaji wake halitutishtui hili.
Wakala yupo tayari kufanya chochote Mchezaji wake apate "mileage" Wakala alimleta Mchezaji Tanzania kama njia panda.
Wakala alishanunua sana "Airtime" ya Mchezaji wake katika Page Kubwa, Wakala hashindwi Kununua Tuzo.
Wakala yuko tayari kugharamia anything akijua wazi kuwa siku moja atakuja kunufaika na mauzo maradufu.
Mawakala wa Afrika Magharibi wanajua sana kuwapush wachezaji wao.
Nilisikia akimsisitiza akiondoka atakuwa amekosea sana.Jana nlimsikia Mane akimwambia Sakho, USIONDOKE SIMBA NI CLUB YA NDOTO YANGU[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
We jamaa acha kufurahisha wasomaji, kama zile tuzo zinanunulika kirahisi msimu ukianza mnunulieni Mayele.Wakala alishanunua sana "Airtime" ya Mchezaji wake katika Page Kubwa, Wakala hashindwi Kununua Tuzo.
Hapa ishu ni goal bora siyo idadi ya magoli. Wakati mwingine mjitahidi kuficha upumbavu wenu,na mambo ya 2014 ndiyo unatuletea leo are you mad?Wala hatukupiga keleleView attachment 2299860
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sakho amewapiga pale panapouma.Wala hatukupiga keleleView attachment 2299860
Na nyie kina Gharib mkampigie Mayelee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ameshinda kutokana na kina mudi kushinda wanapiga kura kila saa
Hakuna hata watu wa nchi nyingine waliompa kura 😂Na nyie kina Gharib mkampigie Mayelee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mambo yakawa hivi.Hakuna hata watu wa nchi nyingine waliompa kura [emoji23]
Hapo hata angekuwa kapama angeshinda maana kura za bambukicha tangu juzi mnapiga..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mambo yakawa hivi.
Unaumia na nn?? Kwan lazima utesekeee???
Byuti byuti. View attachment 2299887
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] peleka la Feisal au Mayeleee.Hapo hata angekuwa kapama angeshinda maana kura za bambukicha tangu juzi mnapiga..
Kwa tunaojua mpango wa wakala Kwa Mchezaji wake halitutishtui hili.
Wakala yupo tayari kufanya chochote Mchezaji wake apate "mileage" Wakala alimleta Mchezaji Tanzania kama njia panda.
Wakala alishanunua sana "Airtime" ya Mchezaji wake katika Page Kubwa, Wakala hashindwi Kununua Tuzo.
Wakala yuko tayari kugharamia anything akijua wazi kuwa siku moja atakuja kunufaika na mauzo maradufu.
Mawakala wa Afrika Magharibi wanajua sana kuwapush wachezaji wao.
Mkuu ebu tuwe tu wakweli goli la acrobatic huwezi kulinganisha Na goli lingne mfano goli alilofunga Cristiano Ronaldo 2017 UEFA dhidi ya Juventus lilikuwa goli Bora la mwaka hata hili la mayele pia ningeshangaa asipewe goli Bora la mwaka hata huyo POS anadeserve mkuu
Goli boraWewe huna tofauti na bwege kabisa! Huyo wakala anayo hela ya kuwanunua CAF? Kweli akili za wengine humu duniani ni vioja kabisa!
tunajua tuzo ya pape ousmane sakho imekupiga na kitu kizito cha uppercut. bado unaugulia maumivu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa tunaojua mpango wa wakala Kwa Mchezaji wake halitutishtui hili.