Kwa tunaofahamu, tuzo ya Sakho ni ya kimkakati

Kwa tunaojua mpango wa wakala Kwa Mchezaji wake halitutishtui hili.

Wakala yupo tayari kufanya chochote Mchezaji wake apate "mileage" Wakala alimleta Mchezaji Tanzania kama njia panda.

Wakala alishanunua sana "Airtime" ya Mchezaji wake katika Page Kubwa, Wakala hashindwi Kununua Tuzo.

Wakala yuko tayari kugharamia anything akijua wazi kuwa siku moja atakuja kunufaika na mauzo maradufu.

Mawakala wa Afrika Magharibi wanajua sana kuwapush wachezaji wao.

Kwa hivyo wakala naye pia alininua kura zilizopogwa.
 
Wakala alishanunua sana "Airtime" ya Mchezaji wake katika Page Kubwa, Wakala hashindwi Kununua Tuzo.
We jamaa acha kufurahisha wasomaji, kama zile tuzo zinanunulika kirahisi msimu ukianza mnunulieni Mayele.
 
Wala hatukupiga kelele
FB_IMG_16584908874713567.jpg
 
Ameshinda kutokana na kina mudi kushinda wanapiga kura kila saa
 
Hakuna hata watu wa nchi nyingine waliompa kura [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mambo yakawa hivi.
Unaumia na nn?? Kwan lazima utesekeee???

Byuti byuti.
JamiiForums-117904405.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_16584762616071937.jpg
    FB_IMG_16584762616071937.jpg
    39.3 KB · Views: 2
Hapo hata angekuwa kapama angeshinda maana kura za bambukicha tangu juzi mnapiga..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] peleka la Feisal au Mayeleee.
Mnakwama wapiiiiiiii???

Kaka wa kunyuuuuunyiiiiiizaaaaa pili pili, kawadondoshea kwenye kidonda tena panapoumaaaaa.

Sakhooooooooooooooo!!!!! Habari ya Dunia kwa sasa.

Woyoooooooh
 
Kwa tunaojua mpango wa wakala Kwa Mchezaji wake halitutishtui hili.

Wakala yupo tayari kufanya chochote Mchezaji wake apate "mileage" Wakala alimleta Mchezaji Tanzania kama njia panda.

Wakala alishanunua sana "Airtime" ya Mchezaji wake katika Page Kubwa, Wakala hashindwi Kununua Tuzo.

Wakala yuko tayari kugharamia anything akijua wazi kuwa siku moja atakuja kunufaika na mauzo maradufu.

Mawakala wa Afrika Magharibi wanajua sana kuwapush wachezaji wao.

Wewe huna tofauti na bwege kabisa! Huyo wakala anayo hela ya kuwanunua CAF? Kweli akili za wengine humu duniani ni vioja kabisa!
 
Mkuu ebu tuwe tu wakweli goli la acrobatic huwezi kulinganisha Na goli lingne mfano goli alilofunga Cristiano Ronaldo 2017 UEFA dhidi ya Juventus lilikuwa goli Bora la mwaka hata hili la mayele pia ningeshangaa asipewe goli Bora la mwaka hata huyo POS anadeserve mkuu

Kwanza huyo kumpa heshima ya ukuu ni kumpa sifa asiyostahili! Kenge huyo!
 
Kwa tunaojua mpango wa wakala Kwa Mchezaji wake halitutishtui hili.

Wakala yupo tayari kufanya chochote Mchezaji wake apate "mileage" Wakala alimleta Mchezaji Tanzania kama njia panda.

Wakala alishanunua sana "Airtime" ya Mchezaji wake katika Page Kubwa, Wakala hashindwi Kununua Tuzo.

Wakala yuko tayari kugharamia anything akijua wazi kuwa siku moja atakuja kunufaika na mauzo maradufu.

Mawakala wa Afrika Magharibi wanajua sana kuwapush wachezaji wao.
tunajua tuzo ya pape ousmane sakho imekupiga na kitu kizito cha uppercut. bado unaugulia maumivu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
giphy.gif
 
Back
Top Bottom