Kwa tunaofuatilia mpira wa Africa ndiyo tunajua kuwa Jwaneng Galaxy ndiyo timu Bora kwenye hatua ya pili ya mashindano ya CAF

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Nimeona Ayub Fc wakikenua meno baada ya droo ya mashindano ya Caf kuchezeshwa na kuanza kujipa moyo kuwa watatinga robo kwa kishindo.

Wydad, asec na Jwaneng Galaxy.

"Eti tunapiga Jwaneng Galaxy nje ndani tunachukua point za kutosha"

Labda niwape taaarifa tu huyu Jwaneng Galaxy ndiyo kamtoa Orlando pirates ileee ya South Africa ambako Ayub Fc walikwenda kuchoma uwanja Lakini wakatoka kapa.

Mbumbumbu Kama Rage alivyowaita wasiojua mpira wanadhani Hili kundi Lina Vibonde Vipers na Horoya.

Safari hii hakuna ndondokela weka mpira uwanjani uoneshe ukubwa wako.

Kama kumfunga power dynamo haeleweki ulimfunga vipi leo uje kufua dafu kwenye timu zinazojielewa??

Kila la heri Ayub Fc.
 
Nimeona Ayub Fc wakikenua meno baada ya droo ya mashindano ya Caf kuchezeshwa na kuanza kujipa moyo kuwa watatinga robo kwa kishindo.

Wydad, asec na Jwaneng Galaxy.

"Eti tunapiga Jwaneng Galaxy nje ndani tunachukua point za kutosha"

labda niwape taaarifa tu huyu Jwaneng Galaxy ndiyo kamtoa Orlando pirates ileee ya south Africa ambako Ayub Fc walikwenda kuchoma uwanja Lakini wakatoka kapa.

Mbumbumbu Kama Rage alivyowaita wasiojua mpira wanadhani Hili kundi Lina Vibonde vipers na Horoya.

Sawa mama. Mke halali wa IHEFU
 
Simba huwa wanamtindo wa kwenda kumubomoa mpinzani mmojawapo kwa kumtwaa kocha. Hiyo huyo kocha wa Galaxy ajiandae kutua msimbazi. Robertinho anaondoka baada ya mechi na Al Ahly
 
Nimeona Ayub Fc wakikenua meno baada ya droo ya mashindano ya Caf kuchezeshwa na kuanza kujipa moyo kuwa watatinga robo kwa kishindo.

Wydad, asec na Jwaneng Galaxy.

"Eti tunapiga Jwaneng Galaxy nje ndani tunachukua point za kutosha"

labda niwape taaarifa tu huyu Jwaneng Galaxy ndiyo kamtoa Orlando pirates ileee ya south Africa ambako Ayub Fc walikwenda kuchoma uwanja Lakini wakatoka kapa.

Mbumbumbu Kama Rage alivyowaita wasiojua mpira wanadhani Hili kundi Lina Vibonde vipers na Horoya.

Safari hii hakuna ndondokela weka mpira uwanjani uoneshe ukubwa wako.

Kama kumfunga power dynamo haeleweki ulimfunga vipi leo uje kufua dafu kwenye timu zinazojielewa??

Kila la heri Ayub Fc.
Uwe unaibua nyuzi za kuijadili utopolo. Kila mida kutega pua ili unuse kwa jirani si afya kwako. Mwiko utachomolewa upigwe nao puani.
 
HIVI UNAAKILI TIMAMU KWELI.?????

UNAJIDHALILISHA SANA KAKA.

Unaushabiki WA Kijinga na WA KITOTO sana.

Ningekushauri ukazanie sana Kusoma kwa LENGO la kupunguza UJINGA.

HAWA NI WATU WAPUMBAVU ZAIDI JAMII FORUM
GENARA.

GE.......
NA........
LA.............
 
Nimeona Ayub Fc wakikenua meno baada ya droo ya mashindano ya Caf kuchezeshwa na kuanza kujipa moyo kuwa watatinga robo kwa kishindo.

Wydad, asec na Jwaneng Galaxy.

"Eti tunapiga Jwaneng Galaxy nje ndani tunachukua point za kutosha"

labda niwape taaarifa tu huyu Jwaneng Galaxy ndiyo kamtoa Orlando pirates ileee ya south Africa ambako Ayub Fc walikwenda kuchoma uwanja Lakini wakatoka kapa.

Mbumbumbu Kama Rage alivyowaita wasiojua mpira wanadhani Hili kundi Lina Vibonde vipers na Horoya.

Safari hii hakuna ndondokela weka mpira uwanjani uoneshe ukubwa wako.

Kama kumfunga power dynamo haeleweki ulimfunga vipi leo uje kufua dafu kwenye timu zinazojielewa??

Kila la heri Ayub Fc.
Hiyo timu imejaaliwa mashabiki wengi wanaopenda kucheza mpira kwenye midomo yao zaidi, badala ya uwanjani.

Muda utakapofika, hawataamini macho yao. Na zile kelele za kumkataa kocha, zitaanza tena upya.
 
Back
Top Bottom