NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Nimeona Ayub Fc wakikenua meno baada ya droo ya mashindano ya Caf kuchezeshwa na kuanza kujipa moyo kuwa watatinga robo kwa kishindo.
Wydad, asec na Jwaneng Galaxy.
"Eti tunapiga Jwaneng Galaxy nje ndani tunachukua point za kutosha"
Labda niwape taaarifa tu huyu Jwaneng Galaxy ndiyo kamtoa Orlando pirates ileee ya South Africa ambako Ayub Fc walikwenda kuchoma uwanja Lakini wakatoka kapa.
Mbumbumbu Kama Rage alivyowaita wasiojua mpira wanadhani Hili kundi Lina Vibonde Vipers na Horoya.
Safari hii hakuna ndondokela weka mpira uwanjani uoneshe ukubwa wako.
Kama kumfunga power dynamo haeleweki ulimfunga vipi leo uje kufua dafu kwenye timu zinazojielewa??
Kila la heri Ayub Fc.