Kwa tunaofuatilia mpira wa Africa ndiyo tunajua kuwa Jwaneng Galaxy ndiyo timu Bora kwenye hatua ya pili ya mashindano ya CAF

Kwa tunaofuatilia mpira wa Africa ndiyo tunajua kuwa Jwaneng Galaxy ndiyo timu Bora kwenye hatua ya pili ya mashindano ya CAF

Nimeona Ayub Fc wakikenua meno baada ya droo ya mashindano ya Caf kuchezeshwa na kuanza kujipa moyo kuwa watatinga robo kwa kishindo.

Wydad, asec na Jwaneng Galaxy.

"Eti tunapiga Jwaneng Galaxy nje ndani tunachukua point za kutosha"

labda niwape taaarifa tu huyu Jwaneng Galaxy ndiyo kamtoa Orlando pirates ileee ya south Africa ambako Ayub Fc walikwenda kuchoma uwanja Lakini wakatoka kapa.

Mbumbumbu Kama Rage alivyowaita wasiojua mpira wanadhani Hili kundi Lina Vibonde vipers na Horoya.

Safari hii hakuna ndondokela weka mpira uwanjani uoneshe ukubwa wako.

Kama kumfunga power dynamo haeleweki ulimfunga vipi leo uje kufua dafu kwenye timu zinazojielewa??

Kila la heri Ayub Fc.
We hatari sana aisee....
 
Kumbe uliona mbali kwa hiyo kilicho tokea Morocco tusikishangae.
HIYO GEMU NIMEIANGALIA VIZURI SANA JAMAA WAPO VIZURI HATA WAYDAD WALIJUA JAMAA NI WAKUJIPIGIA TU.

WANA KIPA MZURI NA MABEKI WAO WANAJUA KUKABA SIYO MCHEZO.
 
Kila la heri Uto fc zile 3 mlipigwa kwa sababu mliingia na picha ya Dodoma jiji kichwani mkadhani mnacheza NBC league [emoji23][emoji23]

Na bado [emoji23][emoji23]
ULIAANGALIA MPIRA AU ULISIKILIZA KWENYE REDIO??

KAMA ULISIKILIZA KWENYE REDIO NENDA YOUTUBE CHUKUA CLIP ZA SIMBA VS ASEC NA CLIP ZA YANGA VS BELOUZDA KISHA UJE UTOE TAKWIMU HAPA NANI ALICHEZA MPIRA MZURI KATI YA SIMBA NA YANGA.
 
Nimeona Ayub Fc wakikenua meno baada ya droo ya mashindano ya Caf kuchezeshwa na kuanza kujipa moyo kuwa watatinga robo kwa kishindo.

Wydad, asec na Jwaneng Galaxy.

"Eti tunapiga Jwaneng Galaxy nje ndani tunachukua point za kutosha"

Labda niwape taaarifa tu huyu Jwaneng Galaxy ndiyo kamtoa Orlando pirates ileee ya South Africa ambako Ayub Fc walikwenda kuchoma uwanja Lakini wakatoka kapa.

Mbumbumbu Kama Rage alivyowaita wasiojua mpira wanadhani Hili kundi Lina Vibonde Vipers na Horoya.

Safari hii hakuna ndondokela weka mpira uwanjani uoneshe ukubwa wako.

Kama kumfunga power dynamo haeleweki ulimfunga vipi leo uje kufua dafu kwenye timu zinazojielewa??

Kila la heri Ayub Fc.
KESHO USIKIMBIE MKUU.
 
Back
Top Bottom