NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #41
WASIJE KUSEMA HAWAKUAMBIWA.Bora umewapa taarifa mapema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WASIJE KUSEMA HAWAKUAMBIWA.Bora umewapa taarifa mapema
HAYA JUMAMOSI SIYO MBALI.Kasusu ulale mkuu. Achana na mnyama.
Hizo ndo zetu champions lg
Hawaamini macho Yao walidhani Galaxy ni kibonde wakachukue point tatu muhimu.Sasa hivi presha zimewapanda.
We hatari sana aisee....Nimeona Ayub Fc wakikenua meno baada ya droo ya mashindano ya Caf kuchezeshwa na kuanza kujipa moyo kuwa watatinga robo kwa kishindo.
Wydad, asec na Jwaneng Galaxy.
"Eti tunapiga Jwaneng Galaxy nje ndani tunachukua point za kutosha"
labda niwape taaarifa tu huyu Jwaneng Galaxy ndiyo kamtoa Orlando pirates ileee ya south Africa ambako Ayub Fc walikwenda kuchoma uwanja Lakini wakatoka kapa.
Mbumbumbu Kama Rage alivyowaita wasiojua mpira wanadhani Hili kundi Lina Vibonde vipers na Horoya.
Safari hii hakuna ndondokela weka mpira uwanjani uoneshe ukubwa wako.
Kama kumfunga power dynamo haeleweki ulimfunga vipi leo uje kufua dafu kwenye timu zinazojielewa??
Kila la heri Ayub Fc.
TULIWAAMBIA MAPEMA WAKAJA KUTUKANA MATUSI NA KUONA KUWA TUNAFATILIA SANA TIMU YAO.We hatari sana aisee....
Statistics zina faida gani kama umefungwa?Angalia statistics zao .saves 16 kwa jwaneng,
Ball position 80 kwa 20.
Binafsi nimefurahi wydad kufungwa.maana angeongoza ligi angetusumbua.bora ashike mkia
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Inatinga kupitia wapi? mechi zote za kimataifa inatoa drawSimba itatinga robo fainali ya Cacl, subiri utaona.
Kumbe uliona mbali kwa hiyo kilicho tokea Morocco tusikishangae.WASIJE KUSEMA HAWAKUAMBIWA.
Kila la heri Uto fc zile 3 mlipigwa kwa sababu mliingia na picha ya Dodoma jiji kichwani mkadhani mnacheza NBC league 😂😂Kila la heri Ayub Fc.
Bro tunajenga au tunabomoa??Kila la heri Uto fc zile 3 mlipigwa kwa sababu mliingia na picha ya Dodoma jiji kichwani mkadhani mnacheza NBC league 😂😂
Na bado 😂😂
HIYO GEMU NIMEIANGALIA VIZURI SANA JAMAA WAPO VIZURI HATA WAYDAD WALIJUA JAMAA NI WAKUJIPIGIA TU.Kumbe uliona mbali kwa hiyo kilicho tokea Morocco tusikishangae.
ULIAANGALIA MPIRA AU ULISIKILIZA KWENYE REDIO??Kila la heri Uto fc zile 3 mlipigwa kwa sababu mliingia na picha ya Dodoma jiji kichwani mkadhani mnacheza NBC league [emoji23][emoji23]
Na bado [emoji23][emoji23]
Zote zipi hizo, kwani mechi zote zimeisha ?Inatinga kupitia wapi? mechi zote za kimataifa inatoa draw
Kwa hiyo unaamini Simba atapata matokeo wydad na Galaxy??Zote zipi hizo, kwani mechi zote zimeisha ?
Kumbe wewe haujui mpira,Statistics zina faida gani kama umefungwa?
KESHO USIKIMBIE MKUU.Nimeona Ayub Fc wakikenua meno baada ya droo ya mashindano ya Caf kuchezeshwa na kuanza kujipa moyo kuwa watatinga robo kwa kishindo.
Wydad, asec na Jwaneng Galaxy.
"Eti tunapiga Jwaneng Galaxy nje ndani tunachukua point za kutosha"
Labda niwape taaarifa tu huyu Jwaneng Galaxy ndiyo kamtoa Orlando pirates ileee ya South Africa ambako Ayub Fc walikwenda kuchoma uwanja Lakini wakatoka kapa.
Mbumbumbu Kama Rage alivyowaita wasiojua mpira wanadhani Hili kundi Lina Vibonde Vipers na Horoya.
Safari hii hakuna ndondokela weka mpira uwanjani uoneshe ukubwa wako.
Kama kumfunga power dynamo haeleweki ulimfunga vipi leo uje kufua dafu kwenye timu zinazojielewa??
Kila la heri Ayub Fc.