[emoji3][emoji3][emoji3] masaa yazingatiweChombo inayomwaga[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hahaha inaonekana unakoendaga kote ni mwendo wa namba D na namba E [emoji3]1.Rekodi na sifa ya kutokuwa na ajali.
2.Unadhifu,usafi na upya.
3. Isiyo na tabia au sifa ya mwendokasi
Mfano? [emoji4]Basi linaloheshimu muda
Walau lisiwe chakavu
Hahaha hata kama utakutana na basi bovu?Binafsi huzingatia basi linalokimbia mwendo wa wastani. Hivyo, nikifika stendi huulizia ni basi gani linawahi sana kufika. Naambiwa. Kisha nauliza, ni basi gani lenyewe linafika la mwisho nisipande. Wananiambia. Baada ya hapo napanda hilo la kufika mwisho kwasababu naamini Lina mwendo ninaouhitaji! Ahahahahaha!!
Huna imani na tumbo lako [emoji3]Kwanza nahakikisha sina njaa wala sijashiba sana, sipendi kusafiri na kinyesi tumboni, pili kwa mkata tiketi huwa nna buku 2 ya pembeni hii ni ya mkata tiketi kwamba vigezo vizingatiwe, nipatiwe seat ya dirishani na seat ya pembeni yangu aniletee pisi kali( hapa ile 2000 ) inakuwa imeenda ki uhalali. Kingine marufuku kula kula njiani vitu kama mayai, ( korosho na soda hii mbaya sana ) mishikaki sijui, hii hapana pia!
[emoji15]Gari za kutosha, sio kama kampuni ya Amani iliyoko Mbeya wanakatisha tiketi halafu wanapakia abira katika magari mengine.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hukuuliza wataalam [emoji3][emoji3]Nilipanda bus fulani kutoka dar kwenda dodoma ilokua dharura nikaacha shabiby sababu ilikua ikichelewa kama nusu saa nilijutia safari nilitoka dar saa sita na nusu mchana dar mbona dodoma nimefika saa nne usiku hadi shabiby niliyoacha ukanipita
Nikasema kweli kila kitu ni brand sitapata bus halina hata brand halijali muda.
Bus lishajifia kitambo,Gari za kutosha, sio kama kampuni ya Amani iliyoko Mbeya wanakatisha tiketi halafu wanapakia abira katika magari mengine.
aisee mimi huwa ninaangalia plate number kwanza. nikiona ni ya kitambo hilo bus nalitilia mashaka sanaBinafsi ili safari yangu iwe nzuri na niifurahie huwa nahitaji vitu vichavhe tu, kwanza kabisa gari linalozingatia muda na pia ile huduma yetu pendwa ya kuchaji simu lakini pia gafi ambalo ni nadhifu kwa maana ya usafi wa ndani na nje wa basi, nikipata vitu hivyo tu basi huwa nashawishika kupanda basi hilo.
Kwako wewe unazingatia nini?View attachment 2718244