Kwa tunaosafiri na mabasi, ni vitu gani huvizingatia kabla ya kufanya maamuzi ya kusafiri na basi husika

Kwa tunaosafiri na mabasi, ni vitu gani huvizingatia kabla ya kufanya maamuzi ya kusafiri na basi husika

Yaani Bus linalopiga mziki ni adui yangu kabisa.

Ili nipate lisilopiga mziki lazima niende kama walivyo nauliza bus la bila mziki sio bus kwa kweli

Hapo kuna mmoja atajichanganya na kucheka na kusema KAMA HILO.

Basi naenda panda hilo hilo 😄 🤣
 
Yaani Bus linalopiga mziki ni adui yangu kabisa
Ili nipate lisilopiga mziki lazima niende kama walivyo nauliza bus la bila mziki sio bus kwa kweli

Hapo kuna mmoja atajichanganya na kucheka na kusema KAMA HILO
Basi naenda panda hilo hilo [emoji1] [emoji1787]
Hilo la bila mziki hilo nalitaka nijaribu [emoji3]

Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
 
Shabiby alienda Dar Mbeya juzikati tu hapa kachomoa hata mwezi hajamaliza

Kuhusu kuwa na mpinzani.. i bet haujaexplore bado kwa wengine [emoji3]

Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Shabibiy yuko vizuri sana halafu ana gari za kutosha
Na gari zake zote ni standard kwa kweli.

Hii route sijui ina nini aisee, [emoji119]
Tuone ABC labda atasurvive.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shabibiy yuko vizuri sana halafu ana gari za kutosha
Na gari zake zote ni standard kwa kweli.

Hii route sijui ina nini aisee, [emoji119]
Tuone ABC labda atasurvive.

Sent using Jamii Forums mobile app
ABC kashasurvive mbona sababu yupo kitambo sasa ni almost mwaka sasa

Plus anaenda Njombe, Mafinga na Iringa which means he is familiar na kanda ya nyanda za juu kusini

Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
 
Binafsi ili safari yangu iwe nzuri na niifurahie huwa nahitaji vitu vichavhe tu, kwanza kabisa gari linalozingatia muda na pia ile huduma yetu pendwa ya kuchaji simu lakini pia gafi ambalo ni nadhifu kwa maana ya usafi wa ndani na nje wa basi, nikipata vitu hivyo tu basi huwa nashawishika kupanda basi hilo.

Kwako wewe unazingatia nini?View attachment 2718244
Mimi gari iwe ya uhakika, huyo jirani yangu asiwe na bughudha. Mwisho kabisa nipate seat yangu karibu backbench huko.
 
Shabiby hana mpinzani hii nchi
Natamani asambaze gari zake direction zote

Apeleke na Dar Mbeya,,hii route ukitoa ABC na na New force,hakuna gari ingine inayoeleweka
Sijawahi jutia kupanda shabiby
 
1. Iyo kampuni iwe na magari mengi na ruti nyingi. (Ikitokea imezingua njiani fasta chuma nyingine inawapitia).

2. Gari safi na latest. Kwasasa anagalu namba ECA kuja mbele.

3. Iwe mchina. Sitaki Scania, Marcopolo sijui nn.

4. Iwe na ofisi Nje ya Magufuli.

5. Tiketi wakate kwa kile kimashine.

6. Wasiondoke saa 10 usiku.

7. Nikiwauliza washkaji wawe wanaijua.
 
Hawa jamaa kwanza uaminifu hawana, Halafu pia sio wasikivu, Mwendo wao tu barabarani utafurahi, ni kama umepanda fastjet.. sjui ndo maana wanajiita NEWFORCE
Zamani walikuwa wanasema new force brings new feelings!
 
1. Iyo kampuni iwe na magari mengi na ruti nyingi. (Ikitokea imezingua njiani fasta chuma nyingine inawapitia).

2. Gari safi na latest. Kwasasa anagalu namba ECA kuja mbele.

3. Iwe mchina. Sitaki Scania, Marcopolo sijui nn.

4. Iwe na ofisi Nje ya Magufuli.

5. Tiketi wakate kwa kile kimashine.

6. Wasiondoke saa 10 usiku.

7. Nikiwauliza washkaji wawe wanaijua.
Hizi vigezo na masharti [emoji2][emoji2][emoji2] sasa kuna kampuni hazina namba E ila zipo poa sana utafanya nn sasa

Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom