Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Dah, hapo mzee nitacheki vigezo vingine ila nishapanda gari nikakuta kunguni man. Aisee.Hizi vigezo na masharti [emoji2][emoji2][emoji2] sasa kuna kampuni hazina namba E ila zipo poa sana utafanya nn sasa
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Pia kuna magari yana reputation nzuri sana ata yakiwa namba za mbali sio mbaya.
Mfano, kipindi Stend ya Mabasi Dar bado ipo Ubungo bwana nilitaka kwenda Moro. Nafika pale nakuta Abood ndio anatoka ameshajaa. Wakasema linakuja jingine. Ila pembeni kuna BM. Zaidi ya nusu seat zina watu na nikaambiwa zingine zimeshachukuliwa zimebaki seat nane tu waamshe, wengine wapo nje wanasubiri dere aondoe.
Nikaona kupanda Abood inayotegemewa kuja ndani ya dakika 5 jau. Nikakata BM
Oya, ziliondoka Abood 3 mi nipo hapo nasubiria hao watu waliosema nane aisee.