Kwa tunaosafiri na mabasi, ni vitu gani huvizingatia kabla ya kufanya maamuzi ya kusafiri na basi husika

Kwa tunaosafiri na mabasi, ni vitu gani huvizingatia kabla ya kufanya maamuzi ya kusafiri na basi husika

Kwa tunaokwenda Singidani ABC ndio basi letu pendwa

Ukiachilia mbali chaji na Bongomovie za mkojani na yule jamaa ana misemo balaa kingine unapewa Soda/maji biskuti na pipi [emoji23][emoji23]
 
Binafsi ili safari yangu iwe nzuri na niifurahie huwa nahitaji vitu vichavhe tu, kwanza kabisa gari linalozingatia muda na pia ile huduma yetu pendwa ya kuchaji simu lakini pia gafi ambalo ni nadhifu kwa maana ya usafi wa ndani na nje wa basi, nikipata vitu hivyo tu basi huwa nashawishika kupanda basi hilo.

Kwako wewe unazingatia nini?

View attachment 2718244
Kwanza dereva apige resi/moshi tatu kwanza🤭🤣
 
Back
Top Bottom