Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakubalindani ya chuma kwanza kuna kuku, bata, mbuzi. abiria bidhaa zetu tunanunua ni mahind ya kuchemsha mayai ya kuchemsha, makande abiria 50 ila chuma ina 60 mafund kama wa3 hivi mda wote spana mkononi maji begani, suka kavaa kikapelo upande au pama tv moja, chuma injini ya scania plate no AAB, oya inamwaga moto mwendo wa ngiri mkia juu honi kama vinanda ukishuka stend mwekenduu inabidi ukaoge kwanza MSAFIRI KAFIRI.
hizo namba ni hatari sana. hata wahudumu huwa rude sana na wenye hasira zisizoeleweka kuanzia mkatisha tiketi hadi dereve. Na mara nyingi huwa zinakuwa na makonda zaidi ya wawili, unadhani wanathibiti mapato kumbe wengine ni mafundi. Unakuta pale mbele kwenye bonet wamekaa au wamelala. Na wamepanga mikate na maji kibao mbele maana hawana uhakika kama watafika siku hiyo hiyo.Hujakutana na hizi namba [emoji3][emoji3] AVA, BAX, ATH za Asante Rabi au AQK, AQN, BVA, etc za KILIMANJARO EXPRESS[emoji3]
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Makini sana, Tunaoelewa wachache sana hii kitu chief.Mambo mawili tu
1.sikai siti ya mbele upande wa kushoto wa dereva(wataalam hatukaagi pale )
2.Sikai siti yoyote ya dirishani ntakupisha ukae wewe najua utafurahi kwakua unapenda kumiliki dirisha.
Ila nilizokutajia hakuna spana mkononi hata moja, gari nadhifu, wahudumu caring, yaan n kama namba Ehizo namba ni hatari sana. hata wahudumu huwa rude sana na wenye hasira zisizoeleweka kuanzia mkatisha tiketi hadi dereve. Na mara nyingi huwa zinakuwa na makonda zaidi ya wawili, unadhani wanathibiti mapato kumbe wengine ni mafundi. Unakuta pale mbele kwenye bonet wamekaa au wamelala. Na wamepanga mikate na maji kibao mbele maana hawana uhakika kama watafika siku hiyo hiyo.
Wakifika chalinze wananunua chipsi, wakifika msola wananunua mihogo, kila mahali lazima wanunue chakula. Ukiona hivyo, anza kumuomba Mungu.
Mengi tu
Nilipanda siku mojaHilo la bila mziki hilo nalitaka nijaribu [emoji3]
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Liwe ljnamwaga motoo sio mnakaaa hadi abiria mnazoeanaChombo inayomwaga[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hutajutia kwa kweli, hata kama una kitabu utasoma kwa raha sanaHilo la bila mziki hilo nalitaka nijaribu [emoji3]
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787]hizo namba ni hatari sana. hata wahudumu huwa rude sana na wenye hasira zisizoeleweka kuanzia mkatisha tiketi hadi dereve. Na mara nyingi huwa zinakuwa na makonda zaidi ya wawili, unadhani wanathibiti mapato kumbe wengine ni mafundi. Unakuta pale mbele kwenye bonet wamekaa au wamelala. Na wamepanga mikate na maji kibao mbele maana hawana uhakika kama watafika siku hiyo hiyo.
Wakifika chalinze wananunua chipsi, wakifika msola wananunua mihogo, kila mahali lazima wanunue chakula. Ukiona hivyo, anza kumuomba Mungu.
Lilikuwa zuri wakati jipya tu linafika.Lakinj lilikua vizuri sana by the time linaoperate
Nakumbuka kupanda DRG mara mbili na DXE mara moja
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app