Basima Ogenze
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 786
- 881
Bus liwe na choo ndani, full stop
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann kaka?sikai siti ya mbele upande wa kushoto wa dereva(wataalam hatukaagi pale
Nimepita hapa Shekilango muda huu naona Abood inapakia.Dah, hapo mzee nitacheki vigezo vingine ila nishapanda gari nikakuta kunguni man. Aisee.
Pia kuna magari yana reputation nzuri sana ata yakiwa namba za mbali sio mbaya.
Mfano, kipindi Stend ya Mabasi Dar bado ipo Ubungo bwana nilitaka kwenda Moro. Nafika pale nakuta Abood ndio anatoka ameshajaa. Wakasema linakuja jingine. Ila pembeni kuna BM. Zaidi ya nusu seat zina watu na nikaambiwa zingine zimeshachukuliwa zimebaki seat nane tu waamshe, wengine wapo nje wanasubiri dere aondoe.
Nikaona kupanda Abood inayotegemewa kuja ndani ya dakika 5 jau. Nikakata BM
Oya, ziliondoka Abood 3 mi nipo hapo nasubiria hao watu waliosema nane aisee.
Nisubirie mataa hapo madam tukapige story.Nimepita hapa Shekilango muda huu naona Abood inapakia.
Nikacheka,comment Yako.
Nipo kwenye Express.Nisubirie mataa hapo madam tukapige story.
Kampuni ya muda sana na moja ya kampuni bora sana za Dar MtwaraKuna gari nimeona hapa limeandikwa BUTI LA ZUNGU
Kweli DSM Kuna mambo,tembea uone.
IshaAllah mkuuTuombeane uzima tu na mpango wa kutembelea Kanda ya ziwa yote ngoja nimpate shemeji nakula rotation kwenye yale maeneo common
Karatasi Star Bus... The Pride Of ShinyangaNapanda allys star bus tena zenye maelekezo ya kumwaga moto(wazoefu wanazijua)
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dahIle njia kutoka kisongo mpaka Moshi ina network 4G+ afu upande shabiby [emoji1787][emoji1787][emoji1787]hakyamungu hasira za kukosa ajira zinaisha zote
Zipo mbonaApewe nchi nzima aisee
Tangu nimeanza kusafiri sijaona gari kali zenye consistency kama shabiby line.
Zile VIP zake ni anasa mule ndani.
Huchoki kabisa.
Yenye choo hayaendi kila sehem sasa 🥲Bus liwe na choo ndani, full stop
Mimi nina mahaba binafsi na Shabiby line Mkuu .Ni Loyal customer ea Shabiby.
Hapo sasa umemaliza [emoji3][emoji3][emoji3] For better for worseMimi nina mahaba binafsi na Shabiby Mkuu .Ni Loyal customer ea Shabiby.
Japo customer service yao ipo chini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe [emoji23]Kampuni ya muda sana na moja ya kampuni bora sana za Dar Mtwara
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Ana mabasi mazuri sana na uhakika sana hapo MtwaraKumbe [emoji23]
Ndio naona leo
Nimecheka
Buti la zungu dah[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Iwe jua iwe mvuaHapo sasa umemaliza [emoji3][emoji3][emoji3] For better for worse
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Nimeona ni zuri sana tuAna mabasi mazuri sana na uhakika sana hapo Mtwara
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Ama kwa vile sijawahi piga route za hukoAna mabasi mazuri sana na uhakika sana hapo Mtwara
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Karibu ufanye exploration [emoji3]Ama kwa vile sijawahi piga route za huko