Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,446
- 3,319
Wataalamu wa mambo wanasema unapokutana na shetani wawili mbele yako chagua shetani mwenye nafuu, kwa kizungu "choose the lesser evil".
Kama CHADEMA ingekubali kushiriki uchaguzi ingeenda kukumbana na mpasuko mkubwa zaidi. Watu hawajui hili baada ya Lissu kushinda uenyekiti wa CHADEMA kilichokuwa kinafuata ni kinyang'anyiro cha mgombea urais. Nguvu na macho yote ya MWAMBA TUVUSHE ilikuwa imeamia kwenye kugombea Urais kwa logic ndogo tu kwamba kwa kuwa Lissu amepata uenyekiti Basi amuachie MWAMBA agombee.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hoja ya MWAMBA kugombea ilikuwa haiungwi mkono na timu Lissu ndani ya CHADEMA ambao wanaamini japo Lissu ni mwenyekiti wa chama bado anafaa kwenye kugombea Urais na anakubalika zaidi kuliko MWAMBA. Sapotazi wengi wa MWAMBA ambao wengi kwa Sasa ni G55 wasingekubali Lissu agombee na MWAMBA akose yote walikuwa wanaona Kama ulafi na ubinafsi.
Kwahiyo kwa CHADEMA kususia uchaguzi kunakiepusha chama hicho na mpasuko mkubwa zaidi wa kinyang'anyiro cha kumpata mgombea Urais Kati ya MWAMBA na Lissu.