Ndugu wana jamvi kwa uamuzi wa hovyo hivi ni kwa nini nisiamini kuwa huyu hakimu ni mla rushwa? Amehongwa na kampuni ya honora tz mobile solutions ili kufuta kesi hii. Ni utaratibu kuwa watoa huduma za fedha wanasimamiwa na benki kuu chini ya sheria ya Bot Act na Bot financial consumers protection regulation Gn 884 za 2019. Linapotokea tatizo kwenye account ya tigopesa au mpesa malalamiko yanapaswa kupelekwa Bot na ndicho mdai kwenye hii kesi alifanya. Ila uhuni wa tigopesa wamehonga mahakama nayo ikakubali kuwa huduma za fedha zinasimamiwa na TCRA na siyo Bot.
Honora tza mobile solutions (tigopesa) ni kampuni iliyosajiliwa na kupewa leseni na Bot ili kutoa huduma za fedha kama kutuma na kupokea, kulipia bils n.k tofauti na HONORA TZ PUBLIC LTD CO. ambayo yenyewe ndo kampuni ya mawasiliano.
Hakimu huyu hana hata mwezi mahakama ya ilala lakini ameanza kutoa hukumu za ovyo kiasi hiki kuumiza wananchi. Inasikitisha sanaaa. Yale yale aliyosema mzee Rostam kuwa mahakama zinapigiwa tuu simu kupindisha maamuzi.