Kwa uamuzi huu sasa Urusi kumaliza vita kwa haraka

Tunapendelea vita viishe haraka na vyakula na mafuta vishuke bei.
Zelensky naye kasema atafanya kama hivyo kwa meli za Urusi zitakazokatiza eneo hilo. tuangalie kitisho cha nani kitakuwa na nguvu na athari kwa mwenzake. Suala la Ukraine kusafirisha ngano yake kwa njia ya bandari tatu zilizobaki mikononi mwake ni la muhimu ili abaki kuwa hai na kuwa na pesa ya kuendelea na vita.
Njia atakayobaki nayo ni matumizi ya vyombo vya ardhini kama garimoshi kupitia Poland na nchi nyengine inazopakana nazo ukiondoa Belarus. Matumizi haya ni ya gharama sana na mzunguko mkubwa kuyafikia masoko kama ya mashariki ya kati na Afrika na hata kwa nchi za Ulaya nazo pia zitazipata bidhaa hizo kwa shida.Na zaidi ni kuwa nchi marafiki na Ukraine wameamua kutokubali kupitisha bidhaa za kilimo za Ukraine kuelekea kwenye masoko yake kwa vile bidhaa hizo huwa zinabaki nchini mwao kwa muda mrefu kutokana na mdororo wa usafiri na hilo hupelekea kwa namna moja au nyengine kushuka bei sana kwa mazoo yake ya kilimo jambo lililollalamikiwa na wakulima wake tayari.
Hakuna njia ya uhakika ya kusafirisha kiwango kikubwa cha bidhaa za Ukraine kuliko bahari.Kwa upande wa Urusi matumizi ya bahari nyeusi ni mepesi kwake lakini ana nafasi ya kutumia bandari nyengine zilizokuwa za Ukraine kutoa na kuingiza bidhaa zake ILI kukwepa kuwa karibu na shabaha za drones za Ukraine.
Kuonesha kuwa Urusi imeona madhara ya kuruhusu meli kuingia na kutoka Odessa siku tatu za mwanzo tu ya kujitoa mkataba huo imeshambulia bandari hizo na kuharibu miundo mbinu muhimu ya kupakilia na kushushia bidhaa hizo.
 
Russia haipo serious.
 
Wait.!

Si kila siku pro Russia mnasema Putin ndio anataka vita vichukue muda mrefu? Imekuwaje tena mnata vita viishe?

Tuliwaambia hapa US ndie mwenye vita hii akisema iishe hata kesho inaisha huyo ndie Super power.
 
Wait.!

Si kila siku pro Russia mnasema Putin ndio anataka vita vichukue muda mrefu? Imekuwaje tena mnata vita viishe?

Tuliwaambia hapa US ndie mwenye vita hii akisema iishe hata kesho inaisha huyo ndie Super power.

Jikite kwenye mada mkuu
 
I told you Russia military always scares a living daylights out of Gringo bandits ndio maana US ukibilia luzitisha tisha Banana Republics and not the Real McCoy like: Russia, China and North Korea and soon Iran.Hivi sasa USA wapo katika hali mgumu sana wakiendelea kupamdikiza chuki ili nchi zisielewane ili viwanda vya silaha. vya MERIKANI (MIC) viendelee. kuuza silaha kwa wingi Duniani. Hilo ndilo lengo lao kuu.
 
Wait.!

Si kila siku pro Russia mnasema Putin ndio anataka vita vichukue muda mrefu? Imekuwaje tena mnata vita viishe?

Tuliwaambia hapa US ndie mwenye vita hii akisema iishe hata kesho inaisha huyo ndie Super power.
Urusi anapigana kwa mtindo wa ndondi za raundi 12.Kila raundi zikiongezeka unatakiwa uengeze nguvu.Ndio nguvu hizi za sasa. Bandari ya Odessa yote haifai na leo kazamisha wazi wazi meli ya zamani ya Ukraine aliyoiteka mwaka 2014 kwenye eneo hilo hilo alilosema asikatishe mtu.
 
Ni zipi , za kwenye Movie ?
 
Duh.

Unyama mwingi
 
Fundi mkuu wa kutengeneza silaha za nyuklia wa Urusi naye amependekeza Urusi itumie nyuklia kupiga kilele cha norht pole ili itoe ujumbe kwamba hizo silaha zipo na zinafanya kazi vipi.
Somo hilo likitendeka watakaopata ujumbe mwanzo ni Canada na Marekani kwani barafu ziltateleza mpaka mijini.Tusubiri iwapo washirika wa Ukraine wataendelea kuona ni mzaha.
 
Imekuwaje tena?
Mbona Nancy walimpeleka Taiwan kibabe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…