Hukumu ya leo wazi wazi inaonyesha kuwa wamedhamiria kumfunga Mbowe. Kungelikuwa na afadhali kwenye Court of Appeal, mtu unasema kuwa ngoja nitakata rufani lakini kwa mwendo wa Mahakama za kishenzi hizi, mbele kuna giza nene kwa Mbowe.
CDM you need another approach to rescue Mbowe! Angalia Mahakama za haki za Bold Spirit Judges as opposed to Timorous kama akina Siyani.
Pitia huukumu hii hapa chini attached, haina tofauti na ya Mbowe ya kesi ndogo. Angalia reasoning ya majaji kuhusu kumshikilia mtu bila kumhoji zaidi ya muda uliowekwa kisheria