Kwa uamuzi huu wa Mahakama Kuu, ni dhahiri kuwa wamedhamiria kutenda uovu

Kuna uzi niliuweka humu hivi karibuni nikieleza night visions niliziona kumhusu hayati Magufuli na nikatoa angalizo hasa kwa watu wenye mamlaka kutenda haki na kujiepusha kwa namna yoyote ile kumwaga damu isiyokua na hatia. Kama waliona au hawajaona siwezi jua ila it was a terrible vision ikiashiria kama roho ya kisasi against the late Magufuli.....

Wao watakwambia ndoto zao walizoota ndizo zinazowafanya kupalilia teuzi na vyeo kwa ajili ya matumbo na familia zao. Na kwa hakika kila kitu kinakwenda kama kilivyopangwa."

Kiongozi alipaswa kulinda resources zetu kwa manufaa yetu. Hawa ni wafuja resources zetu kwa faida ya matumbo na jamaa zao.

Hawa si wa kulilia hali bali ni wa kuvaana nao.
 
Rudi ulale. Usiwe unakula makande usku digestion process inasababisha uote ndoto mbaya
 
Wao watakwambia ndoto zao walizoota ndizo zinazowafanya kupalilia teuzi na vyeo kwa ajili ya matumbo na familia zao. Na kwa hakika kila kitu kinakwenda kama kilivyopangwa."

Kiongozi alipaswa kulinda resources zetu kwa manufaa yetu. Hawa ni wafuja resources zetu kwa faida ya matumbo na jamaa zao.

Hawa si wa kulilia hali bali ni wa kuvaana nao.
Imeandikwa kama wasipowasikia Musa na manabii hata mtu atoke kwa wafu hawatamsikia..........ndo ninaanza kupata mantiki ya andiko hili.
 
Hukumu ya leo wazi wazi inaonyesha kuwa wamedhamiria kumfunga Mbowe. Kungelikuwa na afadhali kwenye Court of Appeal, mtu unasema kuwa ngoja nitakata rufani lakini kwa mwendo wa Mahakama za kishenzi hizi, mbele kuna giza nene kwa Mbowe.

CDM you need another approach to rescue Mbowe! Angalia Mahakama za haki za Bold Spirit Judges as opposed to Timorous kama akina Siyani.
Hawataweza kwani wao ni Mungu, why mtu anakimbia kesi kisa Majukum? Siku ZAJA wasipo ifuta watajuta zaliwa I speek with confidence, nilisema wakati wa mwendazake na leo nasema tena ,Mungu Sio kaka,mama ,baba au nduguyo yeyote atatenda KWa wakati sana
 
Acheni kulia lia!

Kwani dikteta wenu bado yupo? Si mnapumua nyie!?

Hizi mahakama si ndio mlishangilia wakati wa hukumu ya sabaya?

Tulieni!
Wewe ni kati vilaza wa çcm kama chifu wenu
 
Nasema tena na tena " kwa upuuzi huu wa watawala hii nchi haifiki 2040, itakuwa kwenye matatizo kama ya Somalia, Yemen ama Central Africa republic"
Kwa kweli hawa watawala wapuuzi sana.
Free Sabaya!
 
ni hivi Mbowe anakula Maisha na CDM inafutwa rasmi before 2023. tuwe tayari kwa hilo, hiyo kesi ya Sabaya ni danganya toto kutuweka tayari kwa kifungo cha mweshimiwa, dogo sabaya atatoka baada ya 3 to 4 yrs.

Kwanza hata huko gelezani atakuwa anatoka anarudi kula bata na mpenzi wake uraiani, hii ndiyo Tanzania mzee kama huijui basi saga chupa.
Hawajui wanachokifanya wazee wa kukurupuka
Sijui kama kuna watu Ambao huwa wanawaza yajayo yani baada ya kufanya hili na lile mambo yatakuwaje huko baadae
Tufanye nini ili mambo yasiwe hivyo

Mbowe akifungwa ni Mungu meamua iwe hivyo na hili litatokea ili aje mtu wa kutuvusha hii hatua
Mbowe ni mtu wa kupenda amani hata kwenye vita sasa how come utake amani kwwnye vita mzee vita ni vita anayetaka vita mpe vita anayetaka amani mpe amani
Lakini atakayekuja hapo itafahamika yani itajulikana
Anayewaza kuua upinzani akili zake hazina akili upinzani hauwezi kufa kwa kuwa ni fikra
Mwenye harakati ngumu kuliko Mbowe ndiyo anaenda kushika kasi
Ccm wajipange mwisho wao u karibu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kwani kuna maamuzi gani ya hatari yaliyotoka?.Mahakama kukataa mapingamizi mbona ni vitu vya kawaida sana hivyo maana vinaweza kutokana na utashi wa jaji na sidhani kama analazimika kukubali pingamizi lolote ambalo litaathiri mwenendo wa kesi.Hii kesi pamoja na kwamba ni kesi ya mezani kamwe haiwezi kua kesi rahisi kwa walioipanga.Kwahiyo Mashabiki na wafuasi wa mbowe hii tabia yakulalamika kamwe haiwezi kua ufumbuzi kwa kile kilichomkuta mbowe.Tuwe wavumilivu ili tupate muda wakujua nini chakufanya.
 
ni hivi Mbowe anakula Maisha na CDM inafutwa rasmi before 2023. tuwe tayari kwa hilo, hiyo kesi ya Sabaya ni danganya toto kutuweka tayari kwa kifungo cha mweshimiwa, dogo sabaya atatoka baada ya 3 to 4 yrs.

Kwanza hata huko gelezani atakuwa anatoka anarudi kula bata na mpenzi wake uraiani, hii ndiyo Tanzania mzee kama huijui basi saga chupa.
Hawawezi kufanya ujinga wa hivyo.Kwao ni hatari zaidi kuliko ata kwa Cdm.
 
Hukumu ya leo wazi wazi inaonyesha kuwa wamedhamiria kumfunga Mbowe. Kungelikuwa na afadhali kwenye Court of Appeal, mtu unasema kuwa ngoja nitakata rufani lakini kwa mwendo wa Mahakama za kishenzi hizi, mbele kuna giza nene kwa Mbowe.

CDM you need another approach to rescue Mbowe! Angalia Mahakama za haki za Bold Spirit Judges as opposed to Timorous kama akina Siyani.
Ndugu Retired, Mbowe hafungwi, NIAMINI NA UNIELEWE MIMI...

Angalia mchezo unavyochezwa. Mtazame Jaji alivyokuwa anasoma maelezo yake kabla ya kutoa hukumu yake. Dhamiri yake ilikuwa inashtaki. Ni kama ana maelekezo ya nini afanye. Alikuwa anajaribu kila namba kutafuta maneno ya kuhalalisha ushahidi wa upande wa mashtaka uonekane una mashiko...

Kwa ufupi Jamhuri haina uwezo wa kushinda kesi kisheria ila wanajaribu kucheza defensive game ili kipunguza idadi ya magoli tu wanayofungwa...

Sikiliza kauli ya mwisho ya Jaji Mustapha Siyani na baada ya kuitamka, akajitoa kwenye kesi...

".....Kesi hii itakiwa isikilizwe haraka na kuisha. Kama ingekuwa inasikilizwa mfululizo, labda inaweza kwenda kwa miezi minne. Kulingana na majukumu niliyonayo, mimi najitoa na itapangiwa Jaji mwingine haraka iwezekanavyo....!"

Muelekeo wa kesi hii ni kumtesa/kumweka under detention tu Freeman Mbowe kwa minajiri kumtesa kisaikolojia na kumpotezea muda wake...

MBOWE anaweza kuhukumiwa katika steji hii, LAKINI MCHEZO MZIMA WA KESI HII utaishia katika mahakama ya rufani na huko atachiwa huru lakini after a quite sometimes na kumharibia mipango yake yote....!!
 
Nasema tena na tena " kwa upuuzi huu wa watawala hii nchi haifiki 2040, itakuwa kwenye matatizo kama ya Somalia, Yemen ama Central Africa republic"
aaaah wapi, jifurahishe wewe na mkeo nyumbani kwako, aisee
 
Hukumu ya leo wazi wazi inaonyesha kuwa wamedhamiria kumfunga Mbowe. Kungelikuwa na afadhali kwenye Court of Appeal, mtu unasema kuwa ngoja nitakata rufani lakini kwa mwendo wa Mahakama za kishenzi hizi, mbele kuna giza nene kwa Mbowe.

CDM you need another approach to rescue Mbowe! Angalia Mahakama za haki za Bold Spirit Judges as opposed to Timorous kama akina Siyani.
Pitia huukumu hii hapa chini attached, haina tofauti na ya Mbowe ya kesi ndogo. angalia reasoning ya majaji kuhusu kumshikilia mtu bila kumhoji zaidi ya muda uliowekwa kisheria
Unakosea kuziita mahakama za kish..zi, ndugu.
KESI NI MTUHUMIWA,USHAHIDI DHAHIRI,AU MASHAHIDI,PAMOJA NA VIELELEZO MBALIMBALI RECORDED OR ORAL.COMES TO JUSTICE.
 
Hukumu ya leo wazi wazi inaonyesha kuwa wamedhamiria kumfunga Mbowe. Kungelikuwa na afadhali kwenye Court of Appeal, mtu unasema kuwa ngoja nitakata rufani lakini kwa mwendo wa Mahakama za kishenzi hizi, mbele kuna giza nene kwa Mbowe.

CDM you need another approach to rescue Mbowe! Angalia Mahakama za haki za Bold Spirit Judges as opposed to Timorous kama akina Siyani.
Pitia huukumu hii hapa chini attached, haina tofauti na ya Mbowe ya kesi ndogo. angalia reasoning ya majaji kuhusu kumshikilia mtu bila kumhoji zaidi ya muda uliowekwa kisheria
Mungu sio Siyani. Naishia hapa.
 
Je serikali hii hii baadaye itasingizia utata wa hukumu ya kesi ndogo na mwenendo wa kesi kubwa ya Mbowe ni kuwa jaji kiongozi Mustafa Siyani hana uzoefu, wakati serikali na vyombo vyake vya mfumo haki na jinai ( Criminal Justice System )vikizidi kupata mbinyo wa moto toka kwa raia na jumuiya ya kimataifa ?

Hundreds of lawyers rallied in Pakistan's capital, Islamabad, on September 9 , 2021 to protest against the government's recent appointment of a female judge to the Supreme Court. If confirmed, Justice Ayesha Malik will be the first female judge on Pakistan's highest court. The lawyers argue that her appointment violated the "the seniority principle," which states that only the most senior judge can be elevated to the Supreme Court. Malik is ranked fourth in seniority at the Lahore High Court.
 
Nasema tena na tena " kwa upuuzi huu wa watawala hii nchi haifiki 2040, itakuwa kwenye matatizo kama ya Somalia, Yemen ama Central Africa republic"
Atutofikia huko,yeye atakayechezea nchi hii atasambaratika
 
Back
Top Bottom