Kuna uzi niliuweka humu hivi karibuni nikieleza night visions niliziona kumhusu hayati Magufuli na nikatoa angalizo hasa kwa watu wenye mamlaka kutenda haki na kujiepusha kwa namna yoyote ile kumwaga damu isiyokua na hatia. Kama waliona au hawajaona siwezi jua ila it was a terrible vision ikiashiria kama roho ya kisasi against the late Magufuli.....
Wao watakwambia ndoto zao walizoota ndizo zinazowafanya kupalilia teuzi na vyeo kwa ajili ya matumbo na familia zao. Na kwa hakika kila kitu kinakwenda kama kilivyopangwa."
Kiongozi alipaswa kulinda resources zetu kwa manufaa yetu. Hawa ni wafuja resources zetu kwa faida ya matumbo na jamaa zao.
Hawa si wa kulilia hali bali ni wa kuvaana nao.