CDM needs another approach to rescue Mbowe et al! Hata huko Court of Appeal hakuna kitu!Nasema tena na tena " kwa upuuzi huu wa watawala hii nchi haifiki 2040, itakuwa kwenye matatizo kama ya Somalia, Yemen ama Central Africa republic"
Hivi kumbe uliwahi kuziamini mahakama hizi?Pole Sana.CDM needs another approach to rescue Mbowe et al! Hata huko Court of Appeal hakuna kitu!
why? mtaitumbukiza nchi kwenye civil war, maana ni uonevu wa wazi wazi.wamnyonge kabisa
Itafikaje huko wakati gaidi anafungwa?Nasema tena na tena " kwa upuuzi huu wa watawala hii nchi haifiki 2040, itakuwa kwenye matatizo kama ya Somalia, Yemen ama Central Africa republic"
Siyani amejidhalilisha sana.Hukumu ya leo wazi wazi inaonyesha kuwa wamedhamilia kumfunga Mbowe. Kungelikuwa na afadhali kwenye Court of Appeal, mtu unasema kuwa ngoja nitakata rufani. Lakini kwa mwendo wa Mahakama za kishenzi hizi, mbele kuna giza nene kwa Mbowe.
CDM you need another approach to rescue Mbowe !
Angalia Mahakama za haki za Bold Spirit Judges as opposed to Timorous kama akina Siyani
Hukumu kwa kesi kama hii zinaandikwa Ikulu. Hangaya anaipeleka nchi pabaya.CDM needs another approach to rescue Mbowe et al! Hata huko Court of Appeal hakuna kitu!
Bora tufike huko ijulikane moja.Nasema tena na tena " kwa upuuzi huu wa watawala hii nchi haifiki 2040, itakuwa kwenye matatizo kama ya Somalia, Yemen ama Central Africa republic"
Hukumu ya leo wazi wazi inaonyesha kuwa wamedhamilia kumfunga Mbowe. Kungelikuwa na afadhali kwenye Court of Appeal, mtu unasema kuwa ngoja nitakata rufani. Lakini kwa mwendo wa Mahakama za kishenzi hizi, mbele kuna giza nene kwa Mbowe.
CDM you need another approach to rescue Mbowe !
Angalia Mahakama za haki za Bold Spirit Judges as opposed to Timorous kama akina Siyani
Babu hayo maisha yalishakwisha March 17, 2021..... it only remains a history!!!!ogo sabaya atatoka baada ya 3 to 4 yrs.