Kwa uamuzi huu wa Mahakama Kuu, ni dhahiri kuwa wamedhamiria kutenda uovu

Acheni kulia lia!

Kwani dikteta wenu bado yupo? Si mnapumua nyie!?

Hizi mahakama si ndio mlishangilia wakati wa hukumu ya sabaya?

Tulieni!
Bwanawe shangaa haya wewe.
 
s ndo nyie mliosema tumpe muda,,, bado muda,, tuendeleen kumpa mda,, ndo democrsia ya kwel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…