mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
- Thread starter
-
- #41
Tunarudisha KhersonCheza na kitu ingine ila sio putin
Taiwan ndo sababu China inakua kibiashara Taiwan ikiwa nchi maana yake itabidi Meli zote zilipe Taiwan kupita kwenye bahari yake.China ingeamua kukomaa na biashara tu!! Iachane na Taiwan kwani Taiwan ni nini bwana!! Iachane na mikwara hewa ambayo inailetea aibu tuu!! Kuunguruma kwingi kumbe hakuna hata jino moja!! Iamue kuwa ka,ma Switzerland!! Mambo ya kutunisha misuli amwachie Kiduku na Putin!!
Mazoezi yanaanza Tarehe 4-7View attachment 2312698
Hiki ni Kisiwa cha Taiwan, na hivyo viboksi ni maeneo ambayo China anafanya mazoezi ya kijeshi! Je. Pelosi kawekwa chini ya ulinzi?( Jokes)
Mama ni mtaliano hiyo asili yake lazima awe MafiaPelosi Kawa gumuzo sana. Apewe tu, ni jasiri sana
Alimsumbua sana Trump. Na kimsingi huyu ndio chanzo mojaqapo cha Trump kutemwa pale U.S na Biden kuingia Whitehouse.
Alimzingua sana Trump kwenye ujenzi wa Ukuta kule mpakani mwa mexco.
Oh, kumbe ana 82!!!! Lakini anaonekana ni kijana, ana nguvu na uimara wa akili kuliko wanasiasa wengi wenye umri robo/nusu ya huo. Anakula nini huyu hadi katika umri huo awe na muonekano sawa na Tulia Ackson?!!!!!!Sio mama ni bibi wa miaka 82
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mama mkorofi huyu sijui usichana wake alikuaje, Trump aliipata fresh mpaka alisusa kumpa mkono huyu bibi.
Duuu!View attachment 2312671
Speaker Nancy Pelosi, centre, speaks next to Taiwan President Tsai Ing-wen and American Institute in Taiwan Director Sandra Oudkirk during a meeting at the presidential office in Taipei, Taiwan August 3, 2022 [Taiwan Presidential Office/Handout via Reuters]
Mama mbabe Pelosi anaiambia China haina ubavu wa kuzuia watu marafiki kuitembelea Taiwan!!
Pelosi also said the US wants Taiwan to have freedom with security and will not back away from that. She added that while China has “stood in the way of Taiwan participating in and going to certain meetings”, it should understand that it cannot stand in the way of “people coming to Taiwan as a show of friendship”.
Wachina hawa rafiki wa ccm?Hahaha mmegeuka na kuwakana wacnina?
Sasa hana jinsi itabidi China tu ikubali matokeo. Baada ya kudhalilishwa jana sidhani kama China itakuwa na ubavu wa kuivimbia Taiwan kwa lolote!! Taiwan imeasi itabidi China abariki uasi huo ili mambo mengine yaendelee kuliko mtu mzima kuaibika mbele ya macho ya dunia nzima!! Mara mia China isingechimba mkwara, kuliko kuchimba mkwara halafu inaishia kuaibika!! Mchezo wa ubabe awaachie wenyewe!!Taiwan ndo sababu China inakua kibiashara Taiwan ikiwa nchi maana yake itabidi Meli zote zilipe Taiwan kupita kwenye bahari yake.
Pia anaweza zuia meli yoyote
Nimeshaona kwa macho yangu masai anamkimbia paka mkorofi akiwa na sime na mkukiWatu wanakula chatu,popo,simba, chui, mbwa,kenge. Kumbe ni waonga hivyo, duu
Oh, kumbe ana 82!!!! Lakini anaonekana ni kijana, ana nguvu na uimara wa akili kuliko wanasiasa wengi wenye umri robo/nusu ya huo. Anakula nini huyu hadi katika umri huo awe na muonekano sawa na Tulia Ackson?!!!!!!
Kama kutua tu kwa ndege huku mafuta yamepanda bei China wangekiwasha sijui ingekuajeIli tuende mbele na kurudi nyuma!! Woga wa mchina umeepusha maafa makubwa sana!! Waswahili husema "kwa mwoga huenda kicheko, kwa shujaa huenda kilio". Marekani isingevumilia ndege ya spika wake itunguliwe!! Saa hii dunia ingekuwa inaongea kitu kingine!
🙏🙏Marekani viongozi wao huwa ni wazee.. biden amepata urais akiwa na 77. Trump nae alipata urais na 75
Kule huduma zao za afya ni nzuri na maisha ya wazungu ni standard ya juu sana
Marekani bila hela hutoboiMarekani viongozi wao huwa ni wazee.. biden amepata urais akiwa na 77. Trump nae alipata urais na 75
Kule huduma zao za afya ni nzuri na maisha ya wazungu ni standard ya juu sana
Samahani maanake naona huelewi hapo na hivyo itaonekana kama unapotosha. Trump alipata urais akiwa na miaka 70 na siku 220 na wala sio 75 kama unavyodai.Marekani viongozi wao huwa ni wazee.. biden amepata urais akiwa na 77. Trump nae alipata urais na 75
Kule huduma zao za afya ni nzuri na maisha ya wazungu ni standard ya juu sana
Ndio nimekujibu walikuepo akina Bush nini huyo Pelosi? Kifupi hata akiwa rais leo hana cha kuwafanya Russia.Rudia tena kusoma ulicho qoute na ulicho comment.