Kwa ubunifu huu Platnumz ataendelea kutamba kwa miaka kadhaa ijayo

Ndo maana wa TANZANIA WOTE WANAMPENDA kwiiii kwi kwiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee leo hujapata nafas ya kugawa bundles, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Chuki haijengi utamchukiaje mtu ambaye hata kwenye mzunguko wako wakutafuta riziki hayupo zaidi ya kumuona kwenye tv au kwenye social network utakondesha bure moyo wako bila sababu ya msingi.
 
Chuki haijengi utamchukiaje mtu ambaye hata kwenye mzunguko wako wakutafuta riziki hayupo zaidi ya kumuona kwenye tv au kwenye social network utakondesha bure moyo wako bila sababu ya msingi.
hv n kweli anamuona kwenye social network...?
 
Mashabiki wa hatupendagi show off wanaumia sana wanajua jamaa hakamatiki ila ndo watafanyaje sasa hakuna jinsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…