herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
unataka kusema na mashombeshombe...?Wanawake ndo wanamuelewa domo tu + masho**
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unataka kusema na mashombeshombe...?Wanawake ndo wanamuelewa domo tu + masho**
Ndo maana wa TANZANIA WOTE WANAMPENDA kwiiii kwi kwiiiiLicha ya kutaka tu mziki mzuri lakini tunapenda vionjo vingine pia kutoka kwa Mwanamuziki. Msanii/Mwanamuziki/Mburudishaji yafaa kuishi kisanii kama kazi uliyochagua inavyokutaka na si kuleta mambo ya faragha au kujifanya mwenye staha saana (mradi usivunje sheria).
*Fashion, namna anavyovaa.
*Mwonekano, Asikwambie mtu mwonekano hasa body unasaidia sana kuigusa hadhira.
*Kujithaminisha, jifanye ghali sio wa rahisirahisi.
*Dance/Cheza, Hili hadhira inafurahishwa nalo sana!
*Life style ya kisanii.
*Mbinu kali katika kutafuta na kuyaona masoko ya muziki/bidhaa yako.
Jamaa ni msanii aliyekamilika kwa ninavyomtazama, anajua sana kizazi hiki kinataka nini kutoka kwa msanii/mburudishaji na anatupatia kwa kweli.
Hili limefanya karibu Media zote hasa hizi Online kujikuta zinahitaji mno habari za Diamond ili kujitengenezea wafuatiliaji wa media zao.
Yaani kwa sasa media isiyoandika au kuzungumzia Diamond na WCB kwa ujumla inajichelewesha yenyewe!!
Tukubali au tukatae lakini Diamond anabaki kuwa ndie alama au dira kwa upande wa burudani hasa ya kizazi kipya hapa Tanzania. Ni vile tu Sisi weusi tumeumbwa kuchukia wanaofanikiwa kuliko kujifunza kupitia kwao!
Big up Platnumz.
Mbona Kama umeumia hiviHaya wahi foleni pale langoni dabliusibii, yuda ameshaanza kugawa bundles kwa niaba ya broh ake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee leo hujapata nafas ya kugawa bundles, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona Kama umeumia hivi
Chuki haijengi utamchukiaje mtu ambaye hata kwenye mzunguko wako wakutafuta riziki hayupo zaidi ya kumuona kwenye tv au kwenye social network utakondesha bure moyo wako bila sababu ya msingi.Wee leo hujapata nafas ya kugawa bundles, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
hv n kweli anamuona kwenye social network...?Chuki haijengi utamchukiaje mtu ambaye hata kwenye mzunguko wako wakutafuta riziki hayupo zaidi ya kumuona kwenye tv au kwenye social network utakondesha bure moyo wako bila sababu ya msingi.
Kwani amewahi kumuona live zaidi ya kumuona kwenye Instagram,Tv na kumsikiliza kwenye rediohv n kweli anamuona kwenye social network...?
Km unaumia sana meza wembe, relax af kaa kwa kutulia.Chuki haijengi utamchukiaje mtu ambaye hata kwenye mzunguko wako wakutafuta riziki hayupo zaidi ya kumuona kwenye tv au kwenye social network utakondesha bure moyo wako bila sababu ya msingi.
ahaaa kumbe ndo social networkKwani amewahi kumuona live zaidi ya kumuona kwenye Instagram,Tv na kumsikiliza kwenye redio
Ila huo wimbo ni wa usher kaiga kila kitu ajaribu kuwa mbunifu
Ila wahuni wamemwelewa wakaoa kabisa!!!!Yote Tisa kumi Queen darlin amekomaa sana Miguu na sura.
Ï like thisNa anavyojua kuachia hilo body lake anatuteka mpk siye wakinamama huku sitimbi