Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #21
Atavuna anachopandaJafo ni sehemu ya huo mkakati mchafu anang`ata na kupuliza, anajua uchafu wote unaoendelea.
Atavuna anachopandaJafo ni sehemu ya huo mkakati mchafu anang`ata na kupuliza, anajua uchafu wote unaoendelea.
Majukumu ya kuhujumu uchaguzi ?Mwacheni Jafo atimize majukumu yake!
Hakuna ccm iliyowahi kukataliwa kama ccm ya awamu ya 5CCM bana, halafu wanajitapa wanakubalika, waache kuwabania wapinzani, waone watavyoaibika.
[emoji115]sahihi na ni bora kabisa katika uchangiaji woteTukichagua Wapinzani wanahamia CCM. Bora tuchague wanaCCM tu, tumechoka maigizo yenu.
kwanza hawahami bure , wananunuliwa lakini pia kama ni hivyo ubabe unatoka wapi ?[emoji115]sahihi na ni bora kabisa katika uchangiaji wote
iko siku Jaffo atajibu peke yake kizimbani , maana hana kinga yoyote , za kuambiwa achanganye na zakeHivi kweli kabisa na busara zenu mlitarajia kutendewa haki? Mmesahau kabisa uhuni mliofanyiwa kwenye kila uchaguzi tangu Jiwe aingie madarakani?
Kumtaka Waziri Jafo ajiuzulu KWA KUTEKELEZA MAAGIZO YA BOSI WAKE (Jiwe) ni kufanya mzaha.
View attachment 1251019
Waziri anayechekea haya tumfanyeje ?Wahusika wote wanaofanya vitendo vilivyo kinyume na katiba, haki na sheria ni wahalifu wanaopaswa kushughulikiwa bila kuchelewa.
Kuilaumu serikali kwa ujumla ni makosa na hakutaondoa tatizo. Njia sahihi ni kuwashughulikia wahusika moja kwa moja kwenye ngazi zao ili tabia hizo mbovu zisienee.
Watu waovu ni hatari sana kupewa majukumu ya kuhudumia uma na siyo tu wanatakiwa kuadhibiwa bali pia kutambuliwa na kutengwa ili iwe fundisho kwa wengine.
Ni muhimu kujenga nchi yenye heshima kwa kuwaadabisha washenzi kama hao.
Kila mhalifu ashughulikiwe/adhibitiwe kwenye ngazi yake kwa nguvu inayostahili.Waziri anayechekea haya tumfanyeje ?
mtanzaniaWito wako ukiwa nani
Jafo ni sehemu ya huo mkakati mchafu anang`ata na kupuliza, anajua uchafu wote unaoendelea.
aiseee !!Swali,
Jafo akukuwepo ikulu kwenye kikao cha rais na watendaji wa kata?
Utasubiri kweli mambo hayo kutokea , wacha kufananisha waarabu na watz ni maji na mafutaHamna mtu wa kujiuzulu hapa Tanzania kwa kuwa wanajua Watanzania ni makondoo. Lakini Watanzania mkiamua mnaweza!! Kwani huko Tunisia Arab Spring ilianzaje? Ilianza kwa kijana Mohamed Bouaziz aliyemaliza Chuo Kikuu, akakosa kazi na akaamua kufanya biashara ya kimachinga.
Alijichoma kwa moto baada ya Askari wa Jiji kuvunja biashara yake na picha zikachukuliwa na zikaingia kwenye mitandao ya jamii, wakawasiliana na wakalianzisha. Waliposema wanaingia mtaani hakukuwa na Polisi wala Jeshi la kuwazuia mpaka Rais Ben Ali akakimbia nchi.
Eti watu wanasema tuogope vurugu tusikae kama Somalia au Burundi, sasa faida ya amani iko wapi kama haki za kikatiba na demokrasi zinakanyagwa na Meko. Meko hataki hata kuhojiwa na Bunge.
Nchi zenye mabadiliko zilifanikiwa siyo kwa maamuzi ya watu wote bali ni kwa wachache waliojitolea kuleta mabadiliko.
Kama lipi? kununua ndege?Mngekuwa ni watu wa kupongeza pale mazuri yanapofanyika bila shaka hata malalamiko yenu yangesikilizwa. Ila sasa hivi mnaonekana vituko tu kwa sababu hakuna jambo mmewahi kupongeza.