Kwa uchafu unaoendelea nchi nzima ni vema Waziri wa Tamisemi akajiuzulu au atimuliwe

Hivi kweli kabisa na busara zenu mlitarajia kutendewa haki? Mmesahau kabisa uhuni mliofanyiwa kwenye kila uchaguzi tangu Jiwe aingie madarakani?

Kumtaka Waziri Jafo ajiuzulu KWA KUTEKELEZA MAAGIZO YA BOSI WAKE (Jiwe) ni kufanya mzaha.

 
iko siku Jaffo atajibu peke yake kizimbani , maana hana kinga yoyote , za kuambiwa achanganye na zake
 
Wahusika wote wanaofanya vitendo vilivyo kinyume na katiba, haki na sheria ni wahalifu wanaopaswa kushughulikiwa bila kuchelewa.

Kuilaumu serikali kwa ujumla ni makosa na hakutaondoa tatizo. Njia sahihi ni kuwashughulikia wahusika moja kwa moja kwenye ngazi zao ili tabia hizo mbovu zisienee.

Watu waovu ni hatari sana kupewa majukumu ya kuhudumia uma na siyo tu wanatakiwa kuadhibiwa bali pia kutambuliwa na kutengwa ili iwe fundisho kwa wengine.

Ni muhimu kujenga nchi yenye heshima kwa kuwaadabisha washenzi kama hao.
 
Waziri anayechekea haya tumfanyeje ?
 
Waziri anayechekea haya tumfanyeje ?
Kila mhalifu ashughulikiwe/adhibitiwe kwenye ngazi yake kwa nguvu inayostahili.
Kupambana na waziri hakuna tija sana ukizingatia kuwa matendo hayo maovu yanasaidia chama chake kisiasa.
 
Chuki tayari zipo, watu hawaaminiani tena, tunashindwa kujua kupitia Simba na Yanga zetu jamani.

Mshabiki wa Simba hana chuki na mshabiki wa Yanga. Wana Yanga hawawaumizi au kuwadhuru Wanasimba. CCM na wana CCM vipi?
 
Mara nyingi nipo pamoja na ww ila kwa ili hpn wote tunajua tatizo lipo wapi Waukae ana wake 4 sina hakika khs watt ntamuuliza Da Fatuma hlf una hakika akijiuzuru atakuwa Salama yy na Familia yke umefikiria maisha ya hao wanawake 4 na watt zao vp khs ss na Kisarawe yetu muache Waukae Home Boy wetu Yombo Lukinga moja.
 
Jaffo anajua yote yanayotendwa kwenye uchaguzi huu Na watendaji wakisaidiwa Na wakuu Wa wilaya.Anachofanya jaffo ni maigizo ili ionekane hahusiki.bila tume huru ni ngumu wapinzani kupenya...
 

Attachments

  • 2181380_tapatalk_1570975358855.jpeg
    19.9 KB · Views: 10
  • 2181970_tapatalk_1555245893539.jpg
    27.2 KB · Views: 11
Utasubiri kweli mambo hayo kutokea , wacha kufananisha waarabu na watz ni maji na mafuta
 
Mngekuwa ni watu wa kupongeza pale mazuri yanapofanyika bila shaka hata malalamiko yenu yangesikilizwa. Ila sasa hivi mnaonekana vituko tu kwa sababu hakuna jambo mmewahi kupongeza.
Kama lipi? kununua ndege?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…