Kwa uchapa kazi wa waziri Nape minara 45 kunufaisha watu 801961 mkoani Kagera. Japokuwa wapinzani wanamuita Bumunda aliyepata 0

Kwani kazi ya kujenga minara ni ya mwekezaji au serikali?. Anayepaswa kusifiwa ni kampuni kwa kueneza huduma kwa mwananchi asee!.
 
umemwita bumunda tumwonee huruma? huyu ni mhalifu mwenye cheo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…