Kwa uchawa huu kweli kuna tofauti ya machawa na yule awafugaye/

Father of All

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2026
Posts
458
Reaction score
843
1783134892727.png
1783134909303.png

1783134971739.png

Tangu Samia aingie madarakani tokana na ajali ya kifo cha Jiwe, ameshikilia sera uchwara ya uchawa.
Je, naye ni chawa au mfuga machawa?
Je, taifa. limefaidika vipi tokana na sera hii kama kweli ni sera?
Je, kuwaita watu machawa, hata kama wanakubali tokana na uzwazwa na ukosefu wao wa ubunifu siyo kuwabagaza, kuwadhalilisha na kuwadharau?
Je, chanzo cha uchawa ni nini?
Je, uchawa ni utajiri au umaskini kifalsafa na kisera?
Je, ni kwanini watu wazima, tena wengine wasomi, wanakubali ima kuitwa au kuwa chawa?
Je, wati wa,mekiwa wa hovyo hivi hadi wanakubali kugeuzwa au kuitwa chawa?
Yote kati ya yote, chawa ni alama ya uchafu na unyonyaji.
Je, wewe una maoni gani kuhusiana na uchawa na mfuga chawa mbali na sera ya uchawa?
 
Nilifika alipozaliwa kama maafisa wa idara ila ni aibu kwa tabia ya huyu sijui waliotutangulia walifikiria nini
 
View attachment 3621869View attachment 3621870
View attachment 3621871
Tangu Samia aingie madarakani tokana na ajali ya kifo cha Jiwe, ameshikilia sera uchwara ya uchawa.
Je, naye ni chawa au mfuga machawa?
Je, taifa. limefaidika vipi tokana na sera hii kama kweli ni sera?
Je, kuwaita watu machawa, hata kama wanakubali tokana na uzwazwa na ukosefu wao wa ubunifu siyo kuwabagaza, kuwadhalilisha na kuwadharau?
Je, chanzo cha uchawa ni nini?
Je, uchawa ni utajiri au umaskini kifalsafa na kisera?
Je, ni kwanini watu wazima, tena wengine wasomi, wanakubali ima kuitwa au kuwa chawa?
Je, wati wa,mekiwa wa hovyo hivi hadi wanakubali kugeuzwa au kuitwa chawa?
Yote kati ya yote, chawa ni alama ya uchafu na unyonyaji.
Je, wewe una maoni gani kuhusiana na uchawa na mfuga chawa mbali na sera ya uchawa?
Mfuga chawa ni mtu mchafu sana na hajitambui.

Na chawa ni parasite hatari kwa mustakabali wa uhai wa binadamu, wanafaa kuspreiwa na kuangamizwa kabisa.
 
View attachment 3621869View attachment 3621870
View attachment 3621871
Tangu Samia aingie madarakani tokana na ajali ya kifo cha Jiwe, ameshikilia sera uchwara ya uchawa.
Je, naye ni chawa au mfuga machawa?
Je, taifa. limefaidika vipi tokana na sera hii kama kweli ni sera?
Je, kuwaita watu machawa, hata kama wanakubali tokana na uzwazwa na ukosefu wao wa ubunifu siyo kuwabagaza, kuwadhalilisha na kuwadharau?
Je, chanzo cha uchawa ni nini?
Je, uchawa ni utajiri au umaskini kifalsafa na kisera?
Je, ni kwanini watu wazima, tena wengine wasomi, wanakubali ima kuitwa au kuwa chawa?
Je, wati wa,mekiwa wa hovyo hivi hadi wanakubali kugeuzwa au kuitwa chawa?
Yote kati ya yote, chawa ni alama ya uchafu na unyonyaji.
Je, wewe una maoni gani kuhusiana na uchawa na mfuga chawa mbali na sera ya uchawa?
nonsense 🐒
 
Chawa umefika sio? Hongera kuwa chawa wa Mama.
in fact uwe nyumbu au mfuata mkumbo lofa,
kwangu mimi ni dhana tu ambazo hazina athari zozote kisiasa, kijamii au kiuchumi,

na kwahivyo just it's hot air,
ni porojo tu za kuchangamsha genge muda usogee🐒
 
View attachment 3621869View attachment 3621870
View attachment 3621871
Tangu Samia aingie madarakani tokana na ajali ya kifo cha Jiwe, ameshikilia sera uchwara ya uchawa.
Je, naye ni chawa au mfuga machawa?
Je, taifa. limefaidika vipi tokana na sera hii kama kweli ni sera?
Je, kuwaita watu machawa, hata kama wanakubali tokana na uzwazwa na ukosefu wao wa ubunifu siyo kuwabagaza, kuwadhalilisha na kuwadharau?
Je, chanzo cha uchawa ni nini?
Je, uchawa ni utajiri au umaskini kifalsafa na kisera?
Je, ni kwanini watu wazima, tena wengine wasomi, wanakubali ima kuitwa au kuwa chawa?
Je, wati wa,mekiwa wa hovyo hivi hadi wanakubali kugeuzwa au kuitwa chawa?
Yote kati ya yote, chawa ni alama ya uchafu na unyonyaji.
Je, wewe una maoni gani kuhusiana na uchawa na mfuga chawa mbali na sera ya uchawa?
Mwanzilishi wa huo uchawa ndiyo huyo marehemu wako! Samia yuko madarakani kwa kuchaguliwa na wananchi siyo hayo mengine unayoyasema ww punguani
 
Ni kweli. Kwa kila chawa kila kitu hakimhusu samia. Kwa nyumbuu kama wewe sioni wala ajabu wala hainipi taabu kwa vile najua kinachokutafuna.
 
Mwanzilishi wa huo uchawa ndiyo huyo marehemu wako! Samia yuko madarakani kwa kuchaguliwa na wananchi siyo hayo mengine unayoyasema ww punguani
Sahihi Jiwe alikua mtu wa kazi tatizo alikua katiri na alikumbatia chawa
 
Back
Top Bottom