Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 458
- 843
Mfuga chawa ni mtu mchafu sana na hajitambui.View attachment 3621869View attachment 3621870
View attachment 3621871
Tangu Samia aingie madarakani tokana na ajali ya kifo cha Jiwe, ameshikilia sera uchwara ya uchawa.
Je, naye ni chawa au mfuga machawa?
Je, taifa. limefaidika vipi tokana na sera hii kama kweli ni sera?
Je, kuwaita watu machawa, hata kama wanakubali tokana na uzwazwa na ukosefu wao wa ubunifu siyo kuwabagaza, kuwadhalilisha na kuwadharau?
Je, chanzo cha uchawa ni nini?
Je, uchawa ni utajiri au umaskini kifalsafa na kisera?
Je, ni kwanini watu wazima, tena wengine wasomi, wanakubali ima kuitwa au kuwa chawa?
Je, wati wa,mekiwa wa hovyo hivi hadi wanakubali kugeuzwa au kuitwa chawa?
Yote kati ya yote, chawa ni alama ya uchafu na unyonyaji.
Je, wewe una maoni gani kuhusiana na uchawa na mfuga chawa mbali na sera ya uchawa?
Hapo umemsema nani?Nilifika alipozaliwa kama maafisa wa idara ila ni aibu kwa tabia ya huyu sijui waliotutangulia walifikiria nini
nonsense πView attachment 3621869View attachment 3621870
View attachment 3621871
Tangu Samia aingie madarakani tokana na ajali ya kifo cha Jiwe, ameshikilia sera uchwara ya uchawa.
Je, naye ni chawa au mfuga machawa?
Je, taifa. limefaidika vipi tokana na sera hii kama kweli ni sera?
Je, kuwaita watu machawa, hata kama wanakubali tokana na uzwazwa na ukosefu wao wa ubunifu siyo kuwabagaza, kuwadhalilisha na kuwadharau?
Je, chanzo cha uchawa ni nini?
Je, uchawa ni utajiri au umaskini kifalsafa na kisera?
Je, ni kwanini watu wazima, tena wengine wasomi, wanakubali ima kuitwa au kuwa chawa?
Je, wati wa,mekiwa wa hovyo hivi hadi wanakubali kugeuzwa au kuitwa chawa?
Yote kati ya yote, chawa ni alama ya uchafu na unyonyaji.
Je, wewe una maoni gani kuhusiana na uchawa na mfuga chawa mbali na sera ya uchawa?
Chawa umefika sio? Hongera kuwa chawa wa Mama.nonsense π
Mmojawapo wa chawa uchwaranonsense π
in fact uwe nyumbu au mfuata mkumbo lofa,Chawa umefika sio? Hongera kuwa chawa wa Mama.
Thanks mr nonsensenonsense π
Unadhani nimemsema nani wakati anajulikana au hujui?Hapo umemsema nani?
calm down the leader of nonsense nyumbuz and useless wafuata mkumbo πThanks mr nonsense
nonsense π
Mwanzilishi wa huo uchawa ndiyo huyo marehemu wako! Samia yuko madarakani kwa kuchaguliwa na wananchi siyo hayo mengine unayoyasema ww punguaniView attachment 3621869View attachment 3621870
View attachment 3621871
Tangu Samia aingie madarakani tokana na ajali ya kifo cha Jiwe, ameshikilia sera uchwara ya uchawa.
Je, naye ni chawa au mfuga machawa?
Je, taifa. limefaidika vipi tokana na sera hii kama kweli ni sera?
Je, kuwaita watu machawa, hata kama wanakubali tokana na uzwazwa na ukosefu wao wa ubunifu siyo kuwabagaza, kuwadhalilisha na kuwadharau?
Je, chanzo cha uchawa ni nini?
Je, uchawa ni utajiri au umaskini kifalsafa na kisera?
Je, ni kwanini watu wazima, tena wengine wasomi, wanakubali ima kuitwa au kuwa chawa?
Je, wati wa,mekiwa wa hovyo hivi hadi wanakubali kugeuzwa au kuitwa chawa?
Yote kati ya yote, chawa ni alama ya uchafu na unyonyaji.
Je, wewe una maoni gani kuhusiana na uchawa na mfuga chawa mbali na sera ya uchawa?
Ni kweli. Kwa kila chawa kila kitu hakimhusu samia. Kwa nyumbuu kama wewe sioni wala ajabu wala hainipi taabu kwa vile najua kinachokutafuna.Mwanzilishi wa huo uchawa ndiyo huyo marehemu wako! Samia yuko madarakani kwa kuchaguliwa na wananchi siyo hayo mengine unayoyasema ww punguani
Asante nyumbu kiongozi na chawa mchafucalm down the leader of nonsense nyumbuz and useless wafuata mkumbo π
Ni kweli. Kwa chawa, funza na kunguni yaliyoandikwa ni machukizo na maudhi hata nonsense japo ni lulu kwa wenye akilinonsense π
Sahihi Jiwe alikua mtu wa kazi tatizo alikua katiri na alikumbatia chawaMwanzilishi wa huo uchawa ndiyo huyo marehemu wako! Samia yuko madarakani kwa kuchaguliwa na wananchi siyo hayo mengine unayoyasema ww punguani
Pia, hakuwa anajiamini wala kukubali kukosolewa. Ni ushamba tu uliomponzaSahihi Jiwe alikua mtu wa kazi tatizo alikua katiri na alikumbatia chawa