Kwa 'Uchawi' unaofanyika ambao ni wa 'Kufuru' Wajukuu wa Hayati Mandela watajuta kuwafahamu Wajukuu wa Hayati Nyerere kwa Mkapa Kesho

Na Simba tukishinda Kasesera yako halali yetu kwa mwezi mzima.
 
Hahahaaaa. Inasikitisha sana aisee mana juzi mulisema Yanga wanaamini Ushirikina ndo mana wakawakimbia baada ya muda kubadilishwa.

Cha ajabu Wale wale mliosema mna Kikosi bora hamtegemei ndumba leo hii munasapoti hizo hizo ndumba ili mumfunge Kaizer Chiefs. Lol.

Ama kweli binadamu tumeumbwa kusahau.
 
Gentamycine sijui lini umejifunza U Mshana Jr hahahahaa acha watu na mambo yao, ya Kaisari apewe kaisari na ya Mungu apewe Mungu. Sio mlinzi hata wewe kwa unoko huu niwakutwanga jini tu ukaneng'eneke na familia huko huku sisi tunashangilia ushindi.
 
Mkuu Gentamycine naomba kuuliza"Huyo Mganga wa TP Mazembe hakuwepo siku timu yake ya TP Mazzembe ilivyochapwa na Mamelod Sundowns Lubumbashi na Johannesburg pia"? Naomba jibu tafadhali
 
Kuna Ajali zinaviziwa kama zitatokea leo ndani ya Jiji la Dar es Salaam ili Watu wawahi Pumbu ( Kende ) za Maiti zikiwa bado za Moto na Kiganja cha mkono wa Kushoto. Yanayoendelea huko Kesho Wajukuu wa Hayati Mandela hawatoisahau Tanzania na Wajukuu wa Hayati Nyerere.
 
1989-2016 Rekodi zako ni za club au ni za mganga maana Kama huyo mganga yupo toka 1989 basi hayo mataji ni machache. Vile vile kutoka 2016 mpaka sasa hajashinda au walianza kumdhulumu huo mwaka?
Nyie Wapumbavu wachache hebu acheni Kunichosha tafadhali sawa? Nimesema wazi tu kuwa huyo Mganga wa TP Mazembe huwa anazijulia mno Timu za kutoka Afrika Kusini wakicheza nazo na siyo kwamba huwa ( amekuwa ) akiwapa Ubingwa kama Hoja yenu ambayo wengi wenu ndiyo mnaishikilia tu.
 
Wafanye vyovyote cha muhimu tushinde hata wakikusanya Waganga wote Afrika hakuna neno kikubwa tupite.
 
Ungeahidi tu ' Tobo ' lako ingependeza.
 
(Natania): Kama na viganya vimo, chonde waambie wasichukue mkono wa Haji. Labda Wawafikirie mikono ya wale wazee walioweka ngumu mchakato wa mabadiliko.

Nakumbuka miaka ya nyuma kuna gari la mashabiki wa Simba liliwahi kupata ajali njiani Morogoro na kuua mashabiki, walikuwa wanaenda Dodoma kucheki mechi ya Simba dhidi ya Mbao iliyosheheni kina Asante Kwasi na Mwambeleko.
Na Simba iliposhinda ikapata nafasi ya ushiriki michuano ya CAF
 
Mkuu Gentamycine naomba kuuliza"Huyo Mganga wa TP Mazembe hakuwepo siku timu yake ya TP Mazzembe ilivyochapwa na Mamelod Sundowns Lubumbashi na Johannesburg pia"? Naomba jibu tafadhali
Walimdhulumu Pesa zake nyingi mno tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…