Kwa 'Uchawi' unaofanyika ambao ni wa 'Kufuru' Wajukuu wa Hayati Mandela watajuta kuwafahamu Wajukuu wa Hayati Nyerere kwa Mkapa Kesho

Kwa 'Uchawi' unaofanyika ambao ni wa 'Kufuru' Wajukuu wa Hayati Mandela watajuta kuwafahamu Wajukuu wa Hayati Nyerere kwa Mkapa Kesho

Huu uzi utakuwa na wachangiaji wengi sana baada ya mechi. Wengine watakuja kumponda mleta uzi na wengine watakuja kumpongeza mleta uzi kwamba kapita mle mle. Binafsi hili swala sipingani nalo, nilitegemea Simba watafanya kila mbinu ili ipindue meza, kwenye mpira uchawi upo. Nikikumbuka mechi ya juzi juzi hapa kati ya Simba na timu za nje ya nchi ndani ya uwanja wa Mkapa unaona kabisa wapinzani wanavyozidiwa maana mpira wanautafuta kwa tochi na magoli pia hawayaoni. Al Ahly ilipata shida sana utadhani anacheza na Bayer Munich jinsi walivyozidiwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Afe Mbuzi, Afe Mutu tunachotaka bao 5 watu tuendelee kushabikia kwa Mkapa.
 
Mpumbavu wewe! Wewe ni mnafiki, wewe ni shabiki wa yanga unaejifanya shabiki wa simba kwa kutoa siri za simba kwa kujifanya unawahabarisha watu simba ilichofanya ila tunajua unatoa siri ili associates wa chiefs haswa yanga na wengine wanaoichukia simba waende kuwajulisha k.chiefs...hata kama yana ukweli , jambo la kichawi lililokusudiwa hua linafika mujarab kabisa hata muwa alert wahusika itakua kazi bure..fools kabisa shabiki wa yanga wewe
Nimeifanyia Simba SC yako hii ( hiyo ) Makubwa na tena ya Hatari kabisa kuliko ambavyo Juha Mmoja Wewe unavyoweza kudhani sawa?

Huna unachokijua kuhusu Soka la Tanzania ( tena hasa hili linalohusu Vilabu vikongwe hivi Viwili ) vya Simba na Yanga sawa? Kabishane na Oya Oya ( Washamba ) wenzio ambao mmeanza Kuufuatilia Mpira Kipindi cha Kocha Jose Mourinho Mpuuzi Mmoja Wewe.
 
(Natania): Kama na viganya vimo, chonde waambie wasichukue mkono wa Haji. Labda Wawafikirie mikono ya wale wazee walioweka ngumu mchakato wa mabadiliko.

Nakumbuka miaka ya nyuma kuna gari la mashabiki wa Simba liliwahi kupata ajali njiani Morogoro, wakiwa wanaenda Dodoma kucheki mechi ya Simba dhidi ya Mbao iliyosheheni kina Asante Kwasi na Mwambeleko.
Na Simba iliposhinda ikapata nafasi ya ushiriki michuano ya CAF
Siku zote Uchawi mkubwa wa Simba SC wakilitaka lao ni Kuua Mtu ( Watu ) kw Kitabu na Uchawi mkubwa wa Yanga SC ni Kuiba Maiti Mochwari na Kuzifukia Uwanjani kwa Miti Shamba.
 
Mleta uzi utawaua watu maana uongo wako na ule wa Manara unawaua sana watanzania walipa kodi maana mnawaaminisha ujinga usio na maana.Unajua South Africa ndo Nchi pekee yenye chuo Kikuu kinachotoa degree bora ya UCHAWI??Kama walikuja na Malecturer utaweka wap sura yako kesho saa moja?Mbna unazungumzia upande mmoja tu na huzungumzii ubora wa uchawi wao?.Mwenzako Mshana Jr jr yupo kmya ashaona mambo mazito😂😂😂😂
 
Sasa tufanyeje Mkuu kwani akina GENTAMYCINE tukiwaambia Ukweli wa Kiufundi kuwa Timu yetu ni Dhaifu kwa Kaizer Chiefs FC na haitoboi Wananuna na Kunitukana sasa nawapeleka vile watakavyo wao ili Wafurahi, Waamini na Kesho Wajazane Uwanjani wakazimie vizuri kwa Presha ya Kipigo kingine Kitakatifu ambacho nimeshakiona Kiufundi kabisa kuwa Simba SC inaenda Kukipokea tena kwa Mkapa.
 
Mmmnh mkuu mbna unatisha asee ya kweli ayo!? Vipi baada ya game tukutafte umu umu JF au utapotea?
 
Hahahaaaa. Inasikitisha sana aisee mana juzi mulisema Yanga wanaamini Ushirikina ndo mana wakawakimbia baada ya muda kubadilishwa.

Cha ajabu Wale wale mliosema mna Kikosi bora hamtegemei ndumba leo hii munasapoti hizo hizo ndumba ili mumfunge Kaizer Chiefs. Lol.

Ama kweli binadamu tumeumbwa kusahau.
@Shadeeya upo mtani
 
Sasa tufanyeje Mkuu kwani akina GENTAMYCINE tukiwaambia Ukweli wa Kiufundi kuwa Timu yetu ni Dhaifu kwa Kaizer Chiefs FC na haitoboi Wananuna na Kunitukana sasa nawapeleka vile watakavyo wao ili Wafurahi, Waamini na Kesho Wajazane Uwanjani wakazimie vizuri kwa Presha ya Kipigo kingine Kitakatifu ambacho nimeshakiona Kiufundi kabisa kuwa Simba SC inaenda Kukipokea tena kwa Mkapa.
Hatari sana!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣we jamaa sometime unachambua mambo vzur mpka natamani uongoze pale Lumumba.
 
Back
Top Bottom