Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Kwa mujibu wa report hapo chini, Tanzania inatarajia kukusanya T26 mwaka wa fedha 23/24 na zaid ya 40% ya makusanyo yote ya kodi na yasiyo ys kikodi ni kwa ajili ya mishahara, aslimia nyingine kama 40 ni kwa ajili ya kulipa deni la taifa, Sasa tujiulize.
1. Tuna haja ya manunuzi ya magari mapya (latest model) yanayofikia hadi mil 500 kwel?
2. Kuna haja ya serikali kununua ticket za kujaza uwanja eti kushangilia timu ya taifa?
3. Kuna haja ya makongamano na safari za viongozi zisizoisha kweli?
4. Kuna haja ya Radio na TV zetu zote kuhamasisha kamari asubuh hadi jioni?
5. Utitiri wa mawakala na mashrika yanayoibebesha mzigo serikal ya kaz gani?
6. Maendeleo ya viwanda yaliishia wapi?
7. Kilimo kwanza iliishia wapi?
Tazama 👇