Kwa udogo wa Israel, tuwaombee kuendelea kuwepo hapo Middle East

Nchi ndogo yenye ukubwa wa 21, 600+ sq.k lakini inapambana na manchi makubwa na sio moja. Kwa sasa Israel inachapa Palestine, Iran, Lebanon, kambi za kijeshi zilizopo Syria na Iraq.

Huu ni uwezo usio wa kawaida na hii inaonesha kila hatua Israel inavyopambana na adui zake ni kwa msaada wa Mungu.

Pasipo Jehova (Mungu mkuu) Israel ingeshapotezwa ulimwenguni.
View attachment 3136584

Tuendelee kuwaombea hawa waisraeli, wakisema washushe siraha chini nchi yao itavamiwa na kobaz na hivyo misingi ya amani duniani itakuwa matatani.

Fikiria kabla kobaz hawajazivamia nchi za uajemi (iran), Syria na Lebanon zilikuwa nchi nzuri tu, lakini pindi kobaz walivyo karibishwa kwenye nchi hizo na kuzaliana kuwa wengi wakaingiza mambo ya itikadi kali na sharia ambayo ndio chanzo cha ugaidi duniani.
mkuu bila walau D mbili za O'level kamwe huwezi jua nchi kubwa kwenye hii dunia
 
Nchi ndogo yenye ukubwa wa 21, 600+ sq.k lakini inapambana na manchi makubwa na sio moja. Kwa sasa Israel inachapa Palestine, Iran, Lebanon, kambi za kijeshi zilizopo Syria na Iraq.

Huu ni uwezo usio wa kawaida na hii inaonesha kila hatua Israel inavyopambana na adui zake ni kwa msaada wa Mungu.

Pasipo Jehova (Mungu mkuu) Israel ingeshapotezwa ulimwenguni.
View attachment 3136584

Tuendelee kuwaombea hawa waisraeli, wakisema washushe siraha chini nchi yao itavamiwa na kobaz na hivyo misingi ya amani duniani itakuwa matatani.

Fikiria kabla kobaz hawajazivamia nchi za uajemi (iran), Syria na Lebanon zilikuwa nchi nzuri tu, lakini pindi kobaz walivyo karibishwa kwenye nchi hizo na kuzaliana kuwa wengi wakaingiza mambo ya itikadi kali na sharia ambayo ndio chanzo cha ugaidi duniani.
Jehova mwenyewe ni USA na UK
 
Kwani mataifa yanayoongoza kuvamia nchi za watu ni yapi?
Hio marekani unayosema yakistaarabu mbona wananchi wake kila cku wanauana kwa silaha tena .kuna magenge ya wahuni kibao us ina uhalifu mkubwa kuliko nchi kiarabu ambazo unaona si wastaarabu.
Nyie wakristo hata Yesu wenu aliwaambia mna macho ila hamuoni
Maskio mnayo ila hamsikii
Islamic jihad,boko haram, alshabab, alqaida, Hezbollah etc....hayo makundi ni mali ya nani na kazi ya hayo makundi ni ipi nakwa faida ya nani?
 
Usitishike na ukubwa wa Nchi za Kiarabu sehemu kubwa ni Jangwa wenyewe wanaishi sehemu za Mijini tu..

Israel hapo ndo kwake sasa na sasa karudi Nyumbani baada ya kuishi uhamishoni.
 
Islamic jihad,boko haram, alshabab, alqaida, Hezbollah etc....hayo makundi ni mali ya nani na kazi ya hayo makundi ni ipi nakwa faida ya nani?
Wenyewe wanakuambia wanapigania jihad na ukifa kwenye huo mchakato zawadi yake ni bikra 72 kuzimu sasa hizi ni akili au matope?
 
Wanaoishi kwa kufata dini yao wamekua sio wastaarabu ila wanaoishi nchi zenye Uhuru wa jinsia ndio wastaarabu
Dini gani ama mila za kiarabu? Jitu jeusi tii eti unashadadia uarabu na kushika mila zao kisa unaona ufahari ukifa utabadilika liarabu na lisijdah lako kwenye paji lako jeusi.

Pathetic
 
Back
Top Bottom