Uchaguzi 2020 Kwa uelewa wake, Lissu anaamini kabisa kuwa atakuwa Rais wa Tanzania

Mwenzake anayalinda madini YASICHUKUKULIWE NA KUIBIWA ... WAZUNGU YEYE NDIO ANAKUJA NA SERA ZA KUWAPA Yaani kuwakabidhi kabisaa wayamiliki... HII AKILI NI MATOPE ... angekuwepo Nyerere angemchapa bakora... arobain kasoro moja.
 
. Mkuu vip samaki 🤣🤣🤣🤣
BADO WAVUVI MNASHANGILIA ?
 
Vipi mkuu,babari za uvuvi zinaendeleaje? Umemsikia mgombea wako kuwa anataka kukimbilia ughaibuni baada ya kukiua chama
 
tofauti kubwa ya binadamu ni level of thinking.wewe umefikilia hivyo lakini mimi au mwingine hafikilii hivyo ulivyoandika hapo juu
 
1.Katiba ni sawa je KUIJENGEA NCHI UCHUMI KWANZA kisha katiba ije baadae?
2.UHURU mimi binafsi ninaona ninao NAFANYAKAZI BOLA KUBAGILIWA DINI RANGI WALA ITIKADI cha msingi simvunjii mtu heshima wala adabu.
3. YES wamelipwa kutokana na sheria ya kulipwa... kana wachache waliorukwa ni makosa ya watendajo wa chini JPM ameonekana akitatua hixo kero mra kwa mara.
4. JPM awarudosha kazini watu kibao ila kama kuna wanaodai taratibu zinafuatwa
5. Walichomewa NYAVU walichomewa kwa kuwa NYAVU ZAO ZILIKUWA ZIPO KINYUME NA SHERIA ZA UVUVI ... unatumia nyavu za NET ya mbu KWANI UMEENDA KUVUA MBU bahsrini au Ziwani? ... pia NTAVU SAHAHIHI ZO ASAIDIA KATIJA UVUVI ENDEKEVU....
... LISU zile hazikuwa hoja zilikuwa ni kugombanisha kabla ya kujua mpango wa kiongozi mwema. TUJIKITE KUJENGA NCHO YETU ndio hii hii hamna nyingine... TUMSAPPORT JPM SPIDI YA MAENDELEO ISONGE MBELE.
 
Sio kwa ubaya, kama hautajali naomba utupe kwa kifupi wasifu wako kiujumla, yani kama ni elimu sema labda ya chuo kikuu, sekondari au msingi.
Shughuli zako ziko katika sekta gani.
Ili tuweze kuelewa namna bora ya kukujibu. Sababu kwa muda sasa nimekuwa naona wabobezi wakiwa humu jamii forums,wanakuwa wanawajibika kuwajibu watu kwa vitu vikubwa.
Inakuwa kama unamlazimisha mtu wa chekechea kujua hesabu kama za logarithms.
 
Asante ila Nashukuru. Ila hatufanani mawazo na la msingi ni kujenga. NA HAIHITAJI KUWA NA PHD kujua kuwa Ni ULIMBUKENI KUKABIDHI MADINI /UTAJIRI WETU WOTE KWA WAZUNGU ni akili za kuku
 
Asante ila Nashukuru. Ila hatufanani mawazo na la msingi ni kujenga. NA HAIHITAJI KUWA NA PHD kujua kuwa Ni ULIMBUKENI KUKABIDHI MADINI /UTAJIRI WETU WOTE KWA WAZUNGU ni akili za kuku
Ni kweli, lakini hakuna aliesema hivyo kuwa atakabidhi madini.Duniani hakuna sheria inayoruhusu vitu kama hivyo.
Pitia sheria za kimataifa za masuala ya uwekezaji hususan katika madini uone.
 
Propaganda dhaifu!
Weka yako yenye nguvu. Kusema propaganda dhaifu bila ushahidi au kuonyesha udhaifu wake ni sawa Trump kwenda mahakamani kusema ameibiwa kura bila ushahidi wowote. Mahakama imaregemea uthibitisho/ushahidi na hapa JF tunategemea utuonyeshe ushahidi kuonyesha yaliyoandikwa ni propaganda.
 
Kura ni siri, kwanini mnapenda kuwasemea wapiga kura?Kura yako ni moja tu, usiwasemee wengine.
Kwamba kuna aliyetumwa na Mabeberu, kwahiyo hao Mabeberu watakuja kupiga kura au unamaanisha nini mkuu?
Hiyo ni kampeni kaka, siyo kuwasemea, au hujui kampeni ni nini.
 
Mzee wangu mimi ni Ccm ila tuache ushabiki,mambo kwa ground ni tofauti saana...hali mbayaa mzee wangu...ndani moto unawaka, nje moto unawaka kwelikweli...
Wewe sio cCM. Wewe ni cHADEMA unayetaka kuenexzauongo.
 

Ni unabii uliotimia; uliyaona yale ambayo blind followers wake hawakuweza kuyaona!
 
Kwa uchumi upi? Kwa kazi ipi? Kwa biashara ipi unayoifanya? Kwa mshahara upi? Labda wewe ni mjumbe😏
Kwa kilimo je. Mbona hata mimi kizee mwaka huu nimepata gunia 35 za mpunga na 20 za mahindi. Hicho ni chakula kingi mno kwa mimi na mke wangu. Tupo wenyewe tu, watoto nao ni wakulima na kila mwaka wanapata chakula cha kutosha, ninyi mnalialia pesa hamna huku hamfanyi kazi. Mlizoea siku za mishe mishe za wizi na za kampuni za mikononi, sasa mnakaa mnalialia eti hakuna pesa mikononi mwenu kumbe mnalialia mmefungiwa mianya ya wizi!
 
Hatimaye akaambulia mbunge mmoja ambae nae anafanyiwa figisu ajiudhuru.. wanataka demokrasia huku wameficha udikteta kwapani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…