Uchaguzi 2020 Kwa uelewa wake, Lissu anaamini kabisa kuwa atakuwa Rais wa Tanzania

We
wewe unafikiri nyavu haram inakatiwa lesen?sijui niseme mara ngapi unielewe walikuja hao jamaa walisema nyavu zipo sawa lakini wao wametumwa pesa kama huna wanachoma ndipo walipo zichoma nakuziteka engeine nakutokomea nazo mpaka sasa wanazo wanasema tukazikomboe kwa pesa
 
Vipi mkuu,babari za uvuvi zinaendeleaje? Umemsikia mgombea wako kuwa anataka kukimbilia ughaibuni baada ya kukiua chama
Hakuwa mgombea wangu alikuwa mrudisha imani yanaisha kwangu baada yakuchomewa nyavu kionezi unaniuliza uvuvi wakati nilichomewa nakutekwa engeine zangu navua nanini kama nilivyo sema kujidaia madaraka nisawa iladunia tunapita nakuona kama unafurahi mm kuchomewa nyavu halali yenye leseni nakutekwa engeine zangu nakubakia maskini
 
. Mkuu vip samaki 🤣🤣🤣🤣
BADO WAVUVI MNASHANGILIA ?
Hatuwezi shangilia uwezo hatuna mungu atalipa kwani siowammoja anaecheka mwisho ndio hucheka sana unaweza ukawewe unacheka mwisho au mimi in shaalah
 
Usirudie kuamini maneno ya wanasiasa hasa wa aina ya lissu,nchi hii ina misingi yake ambayo imejengwa kwa uimara kamwe mtu awaye yote mwenye akili pungufu kama lissu hawezi pewa.
 
Yani Salum mwalimu saiv angekuwa kavaa suti yani makamu wa rais😂😂😂😂
 
Usirudie kuamini maneno ya wanasiasa hasa wa aina ya lissu,nchi hii ina misingi yake ambayo imejengwa kwa uimara kamwe mtu awaye yote mwenye akili pungufu kama lissu hawezi pewa.
Hakika nakwambia lilimshinda mwanaadam kwa muumba yeye nirahisi sana kama hakutudhulumu wavuvi baraka nyingi kwake kama alidhumu muumba ndio anajuwa atatulipia nini
 
. Kwanini Sasa HAMSHANGILII MKUU
Nimepaza sauti yangu sinampango wa kuleta vurugu kama ataelewa tumezulumiwa atachukua hatua kamaataona ametukomesha iposiku madaraka yataisha kwasasa hatunabudi tukubaliane nahali ombi langu kwako atambue tumedhulumiwa wavuvi mwambao waziwa tanganyika hatukuwa nanyavu haram tuliowengi katika wavuvi wadagaa ispokuwa wachache haswa wavuvi wasamaki ndio wanasadikiwa kuwa nauvuvi huo kwauchache was hata mm siwapendi .ukitaka kujuwa tumeonewa mtu umemuomba asalimishe zana kwahiyari anayekeleza unachoma kwakukosa pesa na unateka mali yake nisawa?
 
Sasa walikuwa wanachoma ni watendaji wa serikali au ni mheshimiwa Magufuli? Kama sio magufuli kwanini umchukie?
 
Sasa walikuwa wanachoma ni watendaji wa serikali au ni mheshimiwa Magufuli? Kama sio magufuli kwanini umchukie?
Alisema nawapeni haya mamilioni siwapi bure yaje nafaida kubwa .
Malalamiko yetu anayokama yeye mtetezi wanyonge kwanini hachukui hatua hata kusema turudishiwe engine zetu tuanze upya lakini kwauoezi uliofanyika ziwa tanganyika haswa kata yakalya ilipaswa turudishiwe malizetu zote na tuombwe radhi inaokopesha hata sikunyingine kwashida nyingine kutoa ushirikiano
S imchukii kiongozi ila namlalamikia kiongozi ajira zetu zimefungwa watoto kusoma na chakula nitaabu kwasasa
 
. Ingawa siyo msomi Mzuri wa kiswahili ila mkuu ulipo c Kuna ofisi za wavuvi afu za mkuu wa wilaya unaweza kufika kwao utapata msaada nauhakika fanya hivo Dunia ya Leo cyo unangoja unayempenda awe rais
 
Mbona Jiwe hakutarajia kuwa Rais ila imewezekana kwa namna zote kwanini isiwe kwa Lissu ama mwingine yeyote?

Wewe kama unajihisi upo kwenye kundi la inferiority complex ni wewe sio kila mtu.
 
Mbona Jiwe hakutarajia kuwa Rais ila imewezekana kwa namna zote kwanini isiwe kwa Lissu ama mwingine yeyote?

Wewe kama unajihisi upo kwenye kundi la inferiority complex ni wewe sio kila mtu.
. Na ameweza kweli kuwa Rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…